Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Inakuwa kama umekopa benki bila makubaliano, unairudisha baada ya muda fulani, hiyo ni kwa current accounts tu
Hiyo fixed account mimi naitaka.

Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.

Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?

Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?

Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?

Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na benki, na kiwango cha riba wanayotoa! riba nyingi najua hazizidi 10%
Hiyo fixed account mimi naitaka.

Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.

Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?

Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?

Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?

Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi mbona imekuwa fujo sasa?
 
Vipi wakati wa kurejesha kile kiasi ulichozidisha kukitoa kunakuwa na Riba?
 
Unaonaje kama nikichukua mkopo WA benki mahali na kiasi kukitupa huko kama biashara? Kitaaluma inakuwaje hii.
 
Mi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.

Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa inawekwa mara moja tu,
Yaani huwezi kuongeza wala kupunguza ndani ya mkataba husika(kwa jibu rahisi ni kwamba ukianza kuweka 1m huwezi kuongeza wala kuipunguza hadai mda mliokubaliana ufike labda kama utavunja mkataba na ukivunja utachajiwa penalti)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.

Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amna huwezi kujua labda jamaa yupo busy au labda maswali yako yapo nje ya uwezo wake mpaka afanye utafiti ndio aje kukupa majibu ya uhakika.....

Tuvute tu subira mkuu...
 
Alaaa kumbe sio ile ya kuwa unaweka laki kila mwezi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante maana nilikuwa sijaelewa.

Lkn mkuu kwani kuna mtu asiependa hela kweli!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiweka 100M naweza kupata riba kiasi gani kila mwezi kwa makadirio tu.
 
Kiwango cha fixed account mara nyingi huanzia laki 5 kwa benki nyingi,

Unaweza kuweka kila mwezi ila inakuwa ni separate account kwa kuwa fixed iko fixed kwenye time na deposits, yaani ukishakubaliana hauwezi kuongeza deposits wala kuongeza muda wa kuiva kwako.

Hayo masuala ya kutoa hela kwenye mshahara bado sijajua

Pia ukiwa na tatizona unataka hela kwa haraka unawezaukakopa benki hiyo hiyo ukitumia fixed account kama dhamana
 
Nikiweka 100M naweza kupata riba kiasi gani kila mwezi kwa makadirio tu.
Ingia kwenye benki unayotaka kuweka hela, angalia viwango vyao utajua utakachopata baada ya mwaka mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…