The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Mkuu hii topic iko vizuri , hizi ndio topic zenye manufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo fixed account mimi naitaka.Inakuwa kama umekopa benki bila makubaliano, unairudisha baada ya muda fulani, hiyo ni kwa current accounts tu
Hiyo fixed account mimi naitaka.Inategemea na benki, na kiwango cha riba wanayotoa! riba nyingi najua hazizidi 10%
Mkuu vipi mbona imekuwa fujo sasa?Hiyo fixed account mimi naitaka.
Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.
Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?
Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?
Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?
Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wakati wa kurejesha kile kiasi ulichozidisha kukitoa kunakuwa na Riba?Wanawake bhana kwa kupenda hela...
Hizo Mara nyingi wanapewaga makampuni mbali mbali ya biashara au ya ujenzi,
Na si kwamba unaruhusiwa tu kujitolea no kuna kuwa na kiwango husika mfano mwisho milioni mia sita,na pia unaweka dhamana mfano gari lenye thamani ya zaidi ya million mia mbili,viwanja na nyumba.
Pia ni kwa kipindi cha mwaka mmoja tu,baada ya hapo unaenda kurenew kiuhasibu inaitwa bank overdraft
Mkuu vipi mbona imekuwa fujo sasa?
Pesa inawekwa mara moja tu,Mi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.
Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna huwezi kujua labda jamaa yupo busy au labda maswali yako yapo nje ya uwezo wake mpaka afanye utafiti ndio aje kukupa majibu ya uhakika.....Mi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.
Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina noma mkuu siwezi kumdhania vibaya mdau.Amna huwezi kujua labda jamaa yupo busy au labda maswali yako yapo nje ya uwezo wake mpaka afanye utafiti ndio aje kukupa majibu ya uhakika.....
Tuvute tu subira mkuu...
Alaaa kumbe sio ile ya kuwa unaweka laki kila mwezi ?Pesa inawekwa mara moja tu,
Yaani huwezi kuongeza wala kupunguza ndani ya mkataba husika(kwa jibu rahisi ni kwamba ukianza kuweka 1m huwezi kuongeza wala kuipunguza hadai mda mliokubaliana ufike labda kama utavunja mkataba na ukivunja utachajiwa penalti)
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante maana nilikuwa sijaelewa.Wanawake bhana kwa kupenda hela...
Hizo Mara nyingi wanapewaga makampuni mbali mbali ya biashara au ya ujenzi,
Na si kwamba unaruhusiwa tu kujitolea no kuna kuwa na kiwango husika mfano mwisho milioni mia sita,na pia unaweka dhamana mfano gari lenye thamani ya zaidi ya million mia mbili,viwanja na nyumba.
Pia ni kwa kipindi cha mwaka mmoja tu,baada ya hapo unaenda kurenew kiuhasibu inaitwa bank overdraft
Nikiweka 100M naweza kupata riba kiasi gani kila mwezi kwa makadirio tu.Katika benki za biashara kuna aina tatu za akaunti, kwa kiingereza zikifahamika kama ‘Savings account’, ‘Current accounts’ na ‘Fixed accounts’
Ukiachana na majina ambayo benki itaamua kuipa akaunti husika lakini huangukia katika aina hizo za akaunti. Namba moja ni akauti ya kuhifadhi pesa ambayo mara nyingi huwa na gharama za uendeshaji na hela yake hupungua kadiri inavyozidi kukaa benki
‘Current accounts’ hii ina sifa kuu ya mtu kuweza kutoa kiwango zaidi ya alichonacho katika benki husika. Mara nyingi huwa wanaziita akaunti za biashara na mwenye akaunti katika aina hii huwa na kitabu cha hawala/hundi
‘Fixed account’ hii ni aina ya akaunti ambayo inalipa mara baada ya muda wake mliokubaliana kuisha. Hii tu huweka pesa benki kwa muda fulani benki nyingi huanzia miezi mitatu, na mtu hatoruhusiwa kutoa hela kwenye akaunti yake hadi muda waliokubaliana kufika
Aina hii ya akaunti hutoa riba kwa aliyeweka hela na haina nyingi hazina makato ya uendeshaji. Aina hii ya akaunti ni moja kati ya uwekezaji mzuri kwa mtu asiyeweza kashkashi za biasahara au akiwa amepata hela ya ghafla na hajui afanyie nini
Ni sawa kuweka hela benki lakini ukiweka kwa ‘savings account’ ni sawa na kuweka mfukoni na muda wowote unaweza kuitoa, lakini ‘fixed account’ mtu hawezi kutoa hela hadi muda utimie
Ukiachilia mbali kuwa na gawio baada ya muda, akaunti hizi pia hutumika kama dhamana ya mikopo kwa taasisi mbalimbali
Signed
Oedipus
Kiwango cha fixed account mara nyingi huanzia laki 5 kwa benki nyingi,Hiyo fixed account mimi naitaka.
Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.
Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?
Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?
Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?
Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumilia, JF sio kama sms kwamba mtu akijibu basi simu itapiga keleleMi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.
Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye benki unayotaka kuweka hela, angalia viwango vyao utajua utakachopata baada ya mwaka mmojaNikiweka 100M naweza kupata riba kiasi gani kila mwezi kwa makadirio tu.
Mi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.
Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haya ngoja nikutumie hela ya soda basi mdogo wanguAsante maana nilikuwa sijaelewa.
Lkn mkuu kwani kuna mtu asiependa hela kweli!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio mambo sasa.Hakuna haya ngoja nikutumie hela ya soda basi mdogo wangu