Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka


Na pia akumbuke dola nazo zinapanda na kushuka kila siku so ategemee yote pia kuweka fixed hela ni lazima uwe nayo cash sio ya kuweka mara kwa mara so mdau jiandae na cash yako mkononi watakutunzia vizuri tu....faida ni ndogo sana kikubwa ua money will be safe na utatimiza malengo yako kwa wakati
 

Ni kweli kabsa mdau....bei ya dola inapanda na kushuka...ila hadi sasa kwa kipindi cha zaid ya miaka 20...tumeshuhudia dola ikipanda kwa kasi na kushuka kidogo sana...ila umesema vema si vema kuweka matarajio makubwa sana. Halafu nlisahau kuandika kwann nlipendekeza account ya watoto..hii ni kwasbb hazina ada ya kila mwezi hivo usd zako zitakuwa kama ulivo weka...na kama utakuwa umezika kwa kipnd angalau cha mwaka nadha au miez sita utapata riba ya 3% ....fanya kautafit kidogo...hapo...
 
Nadhani kwa muda mrefu sasa the most competitive fixed deposit rates in the market zinapatikana Access bank. Watembekee
 
Nadhani kwa muda mrefu sasa the most competitive fixed deposit rates in the market zinapatikana Access bank. Watembekee

Tupe ka ushahid kako kwa hao access bank maana kila bank ina rate zake kwa mfano mie nilishawai kuwwka fixed mil20 kwa miez mitatu nikapata faida ya 304,000 sijui vile ilikuwa 5% so fixed pia inatokana na amount na time pia coz wanaziweka hela kwwnye range ya hapa mpaka hapa ndio hivyo.... na hapo bado tax ya serikali sijui wanachukua 10% ya hiyo faida hahahahahahas h
 
FINCA Tanzania wanatoa rate ya 8.5 mpaka 14 percent in bargaining, naamin kwa hiyo 4M kwa miezi 6 watakupa 9 to 9.3 percent interest ila ukiiweka kwa mwaka Itafika 9.5 to 9.9, watembelee Matawi yao
 
Reactions: Kig
Fixed account ni njia duni kuliko zote Duniani kukunza kipato!,Naunga mkono hoja nenda FNB,nadhani kwa sh 5m riba yao ni 5.49,kwa muda usiopungua miezi sita!kwakuwa umesema pesa yako haizidi 4m hapo nenda kacheki nao
 

VICOBA Na SACCOS.
 

Kwa hiyo 20mil yako access bank ungepewa 10%, so kwa miezi mitatu ingekuwa 500,000. Ila km usemavyo rate inapanda kadri unavyoweka kiasi kikubwa mfano mwenye bil5 anapewa mpaka 18% sasa ukipiga hesabu hapo utaona kumbe kweli MWENYENACHO HUONGEWZEWA
 
Kwa hiyo 20mil yako access bank ungepewa 10%, so kwa miezi mitatu ingekuwa 500,000. Ila km usemavyo rate inapanda kadri unavyoweka kiasi kikubwa mfano mwenye bil5 anapewa mpaka 18% sasa ukipiga hesabu hapo utaona kumbe kweli MWENYENACHO HUONGEWZEWA
hii hesabu ya wapi? Yaani mil 20 kwa 10% upate faida ya 500000?..... Mimi nimeweka million 20 kwa rate ya 6.5 kwa miez mitatu nimepewa 1400000 ukitoa kodi.. Nabaki na faida ya 1100000 ..tena nmb... Sasa wew hyo hesabu unainyaje?

Km hujui ktu usijibu Mkuu acha wanao Fanya kaz hiz wafanye we endelea kunywa gahawa tu
 

Nina uhakika na nilichoandika na niko sahihi mkuu labda km umechanjia ubishi
 

Hahahhahaha nimecheka sana wadau wangu eti aendelee kunywa gahawa yah sasa hivi rate nmb imeongezeka nadhan kwa sababu wanahitaji deposit mie niliweka 2013 na 2015 nadhan watakuwa na mabadiliko makubwa sanaaaa jitahid upite bank mwenyew ufanye compile zako then fanya decision ta ua money na hakuna wa kukupangia sikiliza ushaur then fanya maamuz yako binafsi kila lakheri...
 

Uliweka benki gani
 

Nani kakudanganya dola inashuka?
 
Unapomlaumu mtu kufanya makosa hakikisha wewe unae msahihisha uko sahihi!
Tu dadavulie rate 6.5 umepataje interest ya milioni 1.4?!
 
Wapendwa I have a certain sum of money ambayo sitarajii kuitumia soon na nimefikiria kufungua fixed account niweke angalau kwa mwaka mmoja ila sijawahi fungua hiyo account before kwa hiyo kwa wale wanaojua rate of interest ya fixed account especially kwa CRDB wanieleze tafadhali
 
Kama kwa exim bank wanaanzia miezi 3,4,6,9,12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…