Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Haiwezekani kabisa mkuu,inamaana "bank & clients" watakuwa wanapata "loss" at flat rate!
Ss mbona huwa hatuelimishwi kuhusu inflation rates kabla ya kuweka FDR,don't you think ts important?
Btw em nielimishe ina maana ukipata interest ya 4% p.a kwny FDR ama savings account af inflation ni 2%, basically interest yako ni 2% ama what's the math?
 
The higher the interest rate the higher the risk!!!
Mhhh high risk kivipi wakati FDR is one of the risk free rather low risk investments.. Weka hela mwaka ukiisha una uhakika kuna cha juu unavuna
 
Wapendwa I have a certain sum of money ambayo sitarajii kuitumia soon na nimefikiria kufungua fixed account niweke angalau kwa mwaka mmoja ila sijawahi fungua hiyo account before kwa hiyo kwa wale wanaojua rate of interest ya fixed account especially kwa CRDB wanieleze tafadhali
Kwanini usiende kununua hisa za vodacom ? zitauzwa kwa TZS 850 kwa kuanzia lakini kwa sababu Vodacom ni profitable company zinaweza kupanda na ukapata return nzuri kuliko ambayo utapata ukiweka Fixed deposit account... na pia kama utapendelea kuweka kwenye Fixed deposit account watembelee Banc ABC wako na ka utaratibu flani kazuri sana kwa wateja wanaotaka kuweka fixed deposit
 
Kwa awamu hii mambo hayatabirki sana. Kuna makampuni yalikuwa vizuri Disemba mwaka jana lakini Mwezi wa Tatu huu wanapumulia mashine.
 
Nipe mm hyo hela kila baada ya miez miwili nakupa milion 2 na baada ya miaka miwili nakupa hela yako yte!!![emoji40]
 
poleni na majukumu wakuu....nafikiria kuhifadhi pesa zangu kwenye fixed depost account lakini bado sina experience na hiki kitu japo nnakisoma tu theoretical...na pia nna account mbili yaani NMB & CRDB naombeni msaada
 
Nitakujibu kwa upande wa CRDB maana mimi nina account zangu mbili pale za fixed acc
1. Kuna fixed za muda mfupi yaan miez mitatu, sita, tisa na mwaka. Hizi riba zake sio kuwa sana unless uweke mpunga mwingi, kiwango cha chini cha kufungua fixed acc ya muda wowote ule ni 1M. Na tiba za kawaida kwenye hii zinaanzia 2.5% hadi 7% kwa mpunga wa kawaida
2. Kuna fixed acc ya miaka 3. Hii ni tofauti kidogo kwani riba unaweza ukaamua kula kila mwisho wa mwezi na baada ya miaka mitatu ukavuta mpunga wako ukiwa vile vile (initial deposit) hii riba yake inaamzia 13% kwa mwaka
 
Ya miaka mitatu imekaa fresh
 
Vp kuhusu NMB...?
 
Je unaruhusiwa kudraw kila mwisho wa mwezi na initial deposit ni tshs ngapi?
 
Fikiria mstaafu anapata kiinua mgongo mi60, anaamua kufungua fixed account CRDB huyu atakuwa na uwezo wa kupokea lak7 na point kila mwez
 
Nitakujibu kwa upande wa CRDB maana mimi nina account zangu mbili pale za fixed acc
1. Kuna fixed za muda mfupi yaan miez mitatu, sita, tisa na mwaka. Hizi riba zake sio kuwa sana unless uweke mpunga mwingi, kiwango cha chini cha kufungua fixed acc ya muda wowote ule ni 1M. Na tiba za kawaida kwenye hii zinaanzia 2.5% hadi 7% kwa mpunga wa kawaida
2. Kuna fixed acc ya miaka 3. Hii ni tofauti kidogo kwani riba unaweza ukaamua kula kila mwisho wa mwezi na baada ya miaka mitatu ukavuta mpunga wako ukiwa vile vile (initial deposit) hii riba yake inaamzia 13% kwa mwaka
Hebu fafanua hiyo asilimia 13 kama riba inakuaje utakua unapewa kila mwezi na bado ni fixed deposit account,hebu chukulia unaweka million 10 huyu atakua anapokea sh ngapi kila mwezi? Na je anaruhusiwa withdraw riba kila mwezi??
 
Ya miaka mitatu imekaa fresh
Usiishie kusema ipo poa... Miaka mitatu ni miaka mingi sana based on VALUE OF MONEY TODAY WONT BE THE SAME VALUE IN THREE YEARS TO COME... fixed account sishauri iwe kama uwekezaji bali iwe mpango ambao utakusaidia kama una jambo umepanga kufanya baada ya muda fulani ili hela iwe sehemu salama basi fixed account itakua sehemu sahihi kukimbilia ila sio uwekezaji wa kutengeza faida.
 
Jamani hivi hatuna strong consumer group hapa tz?? Maana mteja haelewi akimbilie wapi maana regulator/bot ndo amekuwa akishangilia tunavyoumia. Majibu plz
Kimsingi BOT ndio chanzo cha kila kadhia kwenye sekta ya fedha na uchumi. Benki zinadai interest rates za BOT ziko juu sana kiasi kwamba inawawia ngumu ku adjust rates zao
 
Hebu fafanua hiyo asilimia 13 kama riba inakuaje utakua unapewa kila mwezi na bado ni fixed deposit account,hebu chukulia unaweka million 10 huyu atakua anapokea sh ngapi kila mwezi? Na je anaruhusiwa withdraw riba kila mwezi??
Mkuu hiyo akaunti inautwa thamani ,,unaweka fedha inakulipa riba kila mwezi kwa akaunti utakayochagua,,riba 13% kwa mwaka,,kesho ntakucalculatia kwa 10 m unapata riba sh ngapi kwa mwezi,,uzuri wake ni biashara ambayo risk yake ni ndogo au hakuna na hupati stress,,but nzuri kwa mwenye hela nyingi,,
 
Hii nayo inaweza kusindikiza huu uzi
1498074768880.jpg
 
Back
Top Bottom