impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Mkuu Akikujibu ni pmHuyu wa pm ambaye amesema anawekewa kwa mwezi bado hajanijibu inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Akikujibu ni pmHuyu wa pm ambaye amesema anawekewa kwa mwezi bado hajanijibu inbox
Benki nyingi Fixed Deposit Account zinaenda kwa mtiririko wa 1Month, 2months, 3months, 6months na 1Year so unachagua wewe unataka ya muda gani kwa mtiririko huo.... So kwa swali lako jibu ni ndiyo....Heshima kwenu waku
Hivi kuna benki ambayo inaruhusu fixed deposit ya mwezi mmoja ukapata interest?
Hiyo siyo Fixed account hiyo ni saving account.... Fixed account ni fixed interms of amount, time and rate... Yaani ukisema unaweka ela kwa muda wa miezi 3 basi huwezi kuitoa kwa muda huo wa miezi mitatu wala huwezi kuweka ela kwenye huo muda wa miezi 3 na utalipwa rate mliokubaliana kwa huo muda wa miezi mitatu.... Fixed Account ni temporary account tu, ela yako ikisha-mature kwa muda uliokubaliana na benki akaunti hiyo fixed inakuwa closed ela inaingia kwenye akaunti yako ya kawaida... Ili uweze kufungua Fixed Deposit Account lazima kwanza uwe na akaunti ya kawaida kwenye benki husika unayotaka kufungua Fixed Deposit Account... Kama hauna akaunti ya kawaida watakufungulia kwanza afu utaweka ela then ndo itahama kwenda Fixed Deposit AccountMie wananiwekea kila mwezi mkuu, Kiwango cha chini kuwepo kwenye account ili upate gawio ni Laki moja. lakini ikae kwenye account yako kwa mwezi
Ni kweli mkuu ya kwangu ni saving lakini kila mwezi Napata gawio la faida ambayo inatosha ku clear monthly charges za benki hela zang hazipunguiHiyo siyo Fixed account hiyo ni saving account.... Fixed account ni fixed interms of amount, time and rate... Yaani ukisema unaweka ela kwa muda wa miezi 3 basi huwezi kuitoa kwa muda huo wa miezi mitatu wala huwezi kuweka ela kwenye huo muda wa miezi 3 na utalipwa rate mliokubaliana kwa huo muda wa miezi mitatu.... Fixed Account ni temporary account tu, ela yako ikisha-mature kwa muda uliokubaliana na benki akaunti hiyo fixed inakuwa closed ela inaingia kwenye akaunti yako ya kawaida... Ili uweze kufungua Fixed Deposit Account lazima kwanza uwe na akaunti ya kawaida kwenye benki husika unayotaka kufungua Fixed Deposit Account... Kama hauna akaunti ya kawaida watakufungulia kwanza afu utaweka ela then ndo itahama kwenda Fixed Deposit Account
....Yes,njoo l&M bank ...tuna riba nzuri za Fixed deposit..ya mwezi 1,miezi 3 na kuendelea...!Heshima kwenu waku
Hivi kuna benki ambayo inaruhusu fixed deposit ya mwezi mmoja ukapata interest?
Elekeza ofc zilipo then andika kwa kirefu bank inavyoitwa.... Ahsante....Yes,njoo l&M bank ...tuna riba nzuri za Fixed deposit..ya mwezi 1,miezi 3 na kuendelea...!
....l&M Bank (T) Ltd...Elekeza ofc zilipo then andika kwa kirefu bank inavyoitwa.... Ahsante
Mkuu kuna haja gan ya kiweka 1milion upate elfu 60 baada ya miezi mitatu? Huu sio ujinga kweli? Achana na huo ujinga wa fixed account unless uwe na milion 100 kwenda juu!!
Katika hiyo Tshs 1,000,000/= yako ukatoa only 10% ambayo ni Tshs 100,000/= ukabeti match yenye Odds 1.6 tayari una Tshs 160,000/= ndani ya Masaa yasiyozidi mawili. Hapo unaipata ile 60,000/= yako kiulaiiniii. Kwa msaada zaidi tembelea huu uzi hapa Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo!Nko Nafanya kaz kwa mtu Na kwa sasa napata 1M kwa mwez sasa nkisema niweke hizi pesa chini ya godoro mpaka nipate mtaj wa kutosha ni sahihi kwel kaka?!
Kwa fedha hiz ndogo ndogo bora uzihifadhie kwenye ardhi,yaan nunua hata ardh ya mil3,then,tulia.ila,kuweka mil1 moja bank,unawafaidisha bank tuu mkuu,imagine unaweka mil5 afta 3months unapewa 150k tena inakatwa kodi mzee,hapo si ungenunua viwanja viwil af unatulia kuliko kuwafaidisha hao bank,..mkuua trust me,nilishakua kama wew,mi nilikuaga naweka m5,au 10,ila badae nkaona sio akil,had nilipoongeza angalau,ila chin ya m5 ni kufaidisha bank tuu,..tena hyo mi bank yenye majina ndo haifai,ina rate ndooogo,bora bank ambazo hazina majin,kama acces,equit,na bank za wahind zile za vichochoron kkooNko Nafanya kaz kwa mtu Na kwa sasa napata 1M kwa mwez sasa nkisema niweke hizi pesa chini ya godoro mpaka nipate mtaj wa kutosha ni sahihi kwel kaka?!
Mkuu usimdanganye mwenzako, kwenye ku-bet hakuna uhakika wa asilimia 100 kupata. Lolote linaweza kutokea, hakuna Odds za uhakika hata siku moja. Unaweza ukaweka hata Odds ya 1.02 na bado ikapigwa!Katika hiyo Tshs 1,000,000/= yako ukatoa only 10% ambayo ni Tshs 100,000/= ukabeti match yenye Odds 1.6 tayari una Tshs 160,000/= ndani ya Masaa yasiyozidi mawili. Hapo unaipata ile 60,000/= yako kiulaiiniii. Kwa msaada zaidi tembelea huu uzi hapa Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo!
Mkuu simdanganyii,Mkuu usimdanganye mwenzako, kwenye ku-bet hakuna uhakika wa asilimia 100 kupata. Lolote linaweza kutokea, hakuna Odds za uhakika hata siku moja. Unaweza ukaweka hata Odds ya 1.02 na bado ikapigwa!
Sawa Betting inaweza kukulipa, lakini siyo kitu cha uhakika kama kuweka pesa Benki.