Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Wakuu wana JF,
Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank , NBC limited au NMB , kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up to 2.1 mil.

Hii ina maana kuwa kwa muda wa mwaka 1, yaani 12 months unakuwa umepata faida ya sh.7.2 million up to 8.4 milion,
Je hizo habari zina ukweli wowote? kwa anayefahamu plse naomba tufahamishe na sisi ili tuweze invest soon ktk hiyo fixed account.

NB: Nimeuliza hilo coz nipo mbali kidogo, huku madongo kuinama ningekuwa jirani ningefanya follow up nije na data kamili
Asanteni,
Nawasilisha

================================================
Mkuu inabidi iwe ni million 100, siyo million 10 kama ulivyosema hapa. NMB sasa hivi wameboresha huduma yao na details zao sasa ziko online. Wameweka online Calclator ambayo ukiingiza kiwango cha pesa unayotaka kufungulia account, inakupa hela utakayopata at maturity.

MImi nilikuwa nayo kwenye benki fulani hivi sitaki kuitaja, nilikuwa napata asilimia 7 na ilikaa zaidi ya miaka miwili. Juzi juzi wakadai wamebadilisha rate na kuwa asilimia 2% kwa sababu eti rates zimeshuka. Nilichofanya ni kuifunga na kwenda kufungua na watu wa TPB, wao wana rate nzuri tu, almost sawa na NMB. Nasubiria maturity mwakani mwezi wa 8 nione kama nitaendelea tena kama wataendelea kunipa rate nzuri.

NMB link yao hii hapa kwa ajili ya FDR

NMB Fixed Account - NMB Bank Plc.

NMB Fixed Account - NMB Bank Plc.
 
I know bank huwa interest rate hazitofautiani sana not sure if its BOT regulating it or not.
Ila EXIM interest rate ya fixed & deposit A/C rate ni 6% kwa miezi mitatu so sijui hizo bank nyingine ulizotaja.

SO 10 million +6% = tshs 600,000 kwa miezi mitatu.

Hizo no data za ukweli toka Exim hata mimi ninayo hiyo account
10mill x6% x0.4
 
Habari za mchana,

Naomba kujua Bank ambayo inatoa rate kubwa (say 9.5% per year) kwenye Fixed Accnt. Nimefanya visiting ya kawaida kwenye bank ya NMB na CRDB but naona rates zao zipo chini!

Msaada wenu tafadhali!
 
Bora hizo, benki ya posta
3 months 3%
6 months 5%
12 months 7%
2 years 8%
na hapo minimum wanasema u-deposit 500,000 /month
 
Habari za mchana,

Naomba kujua Bank ambayo inatoa rate kubwa (say 9.5% per year) kwenye Fixed Accnt. Nimefanya visiting ya kawaida kwenye bank ya NMB na CRDB but naona rates zao zipo chini!

Msaada wenu tafadhali!
Sasa hivi wanakuambia Bot ndio wanapanga rate Lakin ukiwaambia unataka mkopo wa zaidi ya pesa uliyo weka fixd ndio wanakupandishia %za fixed account yako.... Mkuu kama unamzigo bora kuhuweka kwenye ujenz apartment mara 200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wananzengo,poleni na kazi za mchana kutwa husika na kichwa cha habari hapo juu.Mimi Ni kijana wa miaka 21 ila nidhamu ya fedha,sio nzuri hivyo ningependa kuomba msaada wa elimu ya fixed account,kwa watu wenye experience wa suala hili.Na hasa je? Hio sawa siwezi kutoa ila naruhusiwa kuweka fedha mara kwa mara . Asante! Natanguliza shukrani..na pia nitajitahidi kwenda mabank kuomba elimu baada ya hapa!
 
Fixed account unaweka fixed amount kwa specified period. Huwezi kuongeza tana hela kwenye akaunti hiyo tena hadi muda ambao mmekubaliana kupita.
 
Fixed account unaweka fixed amount kwa specified period. Huwezi kuongeza tana hela kwenye akaunti hiyo tena hadi muda ambao mmekubaliana kupita.
KWELI NA KILA MWEZI UTAKUWA UNAPOKEA GAWIO LAKO A.K.A FAIDA YAKO KUTOKA KWENYE FIXED AKAUNTI.
 
Fixed account unaweka fixed amount kwa specified period. Huwezi kuongeza tana hela kwenye akaunti hiyo tena hadi muda ambao mmekubaliana kupita.
Asante,da ila Ni ngumu,maana sisi wa kutegemea boom,nusu yake tuweke fixed inabidi Sasa sijui nifanyaje,ile at least mpaka namaliza niwe na at least one Million.
 
KWELI NA KILA MWEZI UTAKUWA UNAPOKEA GAWIO LAKO A.K.A FAIDA YAKO KUTOKA KWENYE FIXED AKAUNTI.
thanks,unanishaurije mkuu,maana nataka boom la laki tano,nusu niwe nasave,kidogo ili nilibahatika kumaliza chuo niwe na ka one million mkuu.
 
thanks sawa ila nawezaje fanya saving,
Saving inategemea na malengo yako, kama unataka kuitunza hela tu uje kufanyia jambo baadae ni sawa nenda kaweke fixed account,ila kama unatafuta faida kwenye fixed account achana nayo it wont give you any profit
 
Habari wananzengo,poleni na kazi za mchana kutwa husika na kichwa cha habari hapo juu.Mimi Ni kijana wa miaka 21 ila nidhamu ya fedha,sio nzuri hivyo ningependa kuomba msaada wa elimu ya fixed account,kwa watu wenye experience wa suala hili.Na hasa je? Hio sawa siwezi kutoa ila naruhusiwa kuweka fedha mara kwa mara . Asante! Natanguliza shukrani..na pia nitajitahidi kwenda mabank kuomba elimu baada ya hapa!
BANK ina ACCOUNTS aina KUU tatu....
a. SAVING ACCOUNTS
b. INVESTMENT ACCOUNTS
c. PERSONAL (DAILY USAGE) ACCOUNTS

1. Ukiwa unataka kuwa unaweka pesa Mara kwa mara, fungua SAVING ACCOUNT .. Mfano; NMB huitwa BONUS ACCOUNT.
Accrued cash hupata return/interest QUARTERLY.

2. Ukiwa unataka kufungua INVESTMENT ACCOUNT (kama hiyo Fixed Account) ambayo itakua inarudisha return yako kwenye PERSONAL ACCOUNT Fungua INVESTMENT ACCOUNT yenye SIFA HIZO, Mfano; NMB huitwa FLEXI ACCOUNT.

3. Kulingana na hiyo No. 02 then INVESTMENT ACCOUNTS zipo za aina Mbili..
i. Zenye kurudisha RETURN kila mwezi huku PRINCIPAL ikiendelea kuzalisha RETURN kulingana na INTEREST na TIME FOR CONTRACT.
ii. Zile ambazo unapewa RETURN na PRINCIPAL contract iki MATURE...

#ASANTE

#YNWA
 
Back
Top Bottom