Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hapo nakubaliana na wewe, "bet what you can afford to lose".Ajilipue tu kwenye kubet. Ila rule moja kubwa ni kua "Bet what you can afford to loose"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nakubaliana na wewe, "bet what you can afford to lose".Ajilipue tu kwenye kubet. Ila rule moja kubwa ni kua "Bet what you can afford to loose"
Mkuu inabidi iwe ni million 100, siyo million 10 kama ulivyosema hapa. NMB sasa hivi wameboresha huduma yao na details zao sasa ziko online. Wameweka online Calclator ambayo ukiingiza kiwango cha pesa unayotaka kufungulia account, inakupa hela utakayopata at maturity.Wakuu wana JF,
Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank , NBC limited au NMB , kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up to 2.1 mil.
Hii ina maana kuwa kwa muda wa mwaka 1, yaani 12 months unakuwa umepata faida ya sh.7.2 million up to 8.4 milion,
Je hizo habari zina ukweli wowote? kwa anayefahamu plse naomba tufahamishe na sisi ili tuweze invest soon ktk hiyo fixed account.
NB: Nimeuliza hilo coz nipo mbali kidogo, huku madongo kuinama ningekuwa jirani ningefanya follow up nije na data kamili
Asanteni,
Nawasilisha
================================================
10mill x6% x0.4I know bank huwa interest rate hazitofautiani sana not sure if its BOT regulating it or not.
Ila EXIM interest rate ya fixed & deposit A/C rate ni 6% kwa miezi mitatu so sijui hizo bank nyingine ulizotaja.
SO 10 million +6% = tshs 600,000 kwa miezi mitatu.
Hizo no data za ukweli toka Exim hata mimi ninayo hiyo account
Bora hizo, benki ya postaHabari za mchana,
Naomba kujua Bank ambayo inatoa rate kubwa (say 9.5% per year) kwenye Fixed Accnt. Nimefanya visiting ya kawaida kwenye bank ya NMB na CRDB but naona rates zao zipo chini!
Msaada wenu tafadhali!
Bora hizo, benki ya posta
3 months 3%
6 months 5%
12 months 7%
2 years 8%
na hapo minimum wanasema u-deposit 500,000 /month
Sasa hivi wanakuambia Bot ndio wanapanga rate Lakin ukiwaambia unataka mkopo wa zaidi ya pesa uliyo weka fixd ndio wanakupandishia %za fixed account yako.... Mkuu kama unamzigo bora kuhuweka kwenye ujenz apartment mara 200Habari za mchana,
Naomba kujua Bank ambayo inatoa rate kubwa (say 9.5% per year) kwenye Fixed Accnt. Nimefanya visiting ya kawaida kwenye bank ya NMB na CRDB but naona rates zao zipo chini!
Msaada wenu tafadhali!
KWELI NA KILA MWEZI UTAKUWA UNAPOKEA GAWIO LAKO A.K.A FAIDA YAKO KUTOKA KWENYE FIXED AKAUNTI.Fixed account unaweka fixed amount kwa specified period. Huwezi kuongeza tana hela kwenye akaunti hiyo tena hadi muda ambao mmekubaliana kupita.
Asante,da ila Ni ngumu,maana sisi wa kutegemea boom,nusu yake tuweke fixed inabidi Sasa sijui nifanyaje,ile at least mpaka namaliza niwe na at least one Million.Fixed account unaweka fixed amount kwa specified period. Huwezi kuongeza tana hela kwenye akaunti hiyo tena hadi muda ambao mmekubaliana kupita.
thanks,unanishaurije mkuu,maana nataka boom la laki tano,nusu niwe nasave,kidogo ili nilibahatika kumaliza chuo niwe na ka one million mkuu.KWELI NA KILA MWEZI UTAKUWA UNAPOKEA GAWIO LAKO A.K.A FAIDA YAKO KUTOKA KWENYE FIXED AKAUNTI.
thanks sawa ila nawezaje fanya saving,Fixed account kwa kuwa viriba vyake ni viduchu sana labda kama una pesa ndefuuuu,ila kama za madafu achana nayo
Saving inategemea na malengo yako, kama unataka kuitunza hela tu uje kufanyia jambo baadae ni sawa nenda kaweke fixed account,ila kama unatafuta faida kwenye fixed account achana nayo it wont give you any profitthanks sawa ila nawezaje fanya saving,
BANK ina ACCOUNTS aina KUU tatu....Habari wananzengo,poleni na kazi za mchana kutwa husika na kichwa cha habari hapo juu.Mimi Ni kijana wa miaka 21 ila nidhamu ya fedha,sio nzuri hivyo ningependa kuomba msaada wa elimu ya fixed account,kwa watu wenye experience wa suala hili.Na hasa je? Hio sawa siwezi kutoa ila naruhusiwa kuweka fedha mara kwa mara . Asante! Natanguliza shukrani..na pia nitajitahidi kwenda mabank kuomba elimu baada ya hapa!