klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mkuu kumradhi, my bad there was no need for 'Duh' :redfaces:
Mkuu mbona mie nilifikiri tumesema kuwa jawabu ni kutumia changes in energy levels na kwa maana hiyo hata tukitafuta twice as hot as +15C jawabu halitakuwa +30C (hata hapa ukifanya conversion into Farenheit first and change back, you will get a different answer) bali itabidi tuangalie kimisingi ya mabadiliko ya energy na ndio maana tukahusisha absolute zero. (As Kiranga pointed out, only theoretically)
Joto mara mbili haimaanishi kuwa ni mara mbili ya unit kwenye kipimo kinachotumika bali mara mbili ya energy iliyomo kwenye kimiminika kinachopimwa.
Ni wazi kuwa hii change in energy in a fluid na change in unit kwenye vipimo vya Celcius, Farenheit haipo katika ratio moja (1:1) na kwa maana hiyo hatuwezi kufanya simple multiplications tu.
dah kumbe gaijin na wewe ni mkali kwa dalton theory. acha nisepe kabla sijachanganywa na absolute zero