Matibabu yanayotolewa kwa mazoezi.Matibabu ya aina hii mara nyingi hutolewa kwa wagonjwa wa viungo na mishipa ya fahamu.utaona watu walioparalyse wanasema wanakwenda hosp. kwa mazoezi basi yale mazoezi ndio hutolewa na hao wataalamu wa physiotherapy .