fiziotherapia ni kozi gani

fiziotherapia ni kozi gani

ams acks

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
101
Reaction score
13
habari yenu wana jukwaa, naomba kujuzwa kuhusu kozi ya fiziotherapia inahusu nini
 
Matibabu yanayotolewa kwa mazoezi.Matibabu ya aina hii mara nyingi hutolewa kwa wagonjwa wa viungo na mishipa ya fahamu.utaona watu walioparalyse wanasema wanakwenda hosp. kwa mazoezi basi yale mazoezi ndio hutolewa na hao wataalamu wa physiotherapy .
 
thanxs
 
Back
Top Bottom