Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matibabu yanayotolewa kwa mazoezi.Matibabu ya aina hii mara nyingi hutolewa kwa wagonjwa wa viungo na mishipa ya fahamu.utaona watu walioparalyse wanasema wanakwenda hosp. kwa mazoezi basi yale mazoezi ndio hutolewa na hao wataalamu wa physiotherapy .habari yenu wana jukwaa, naomba kujuzwa kuhusu kozi ya fiziotherapia inahusu nini
Matibabu yanayotolewa kwa mazoezi.Matibabu ya aina hii mara nyingi hutolewa kwa wagonjwa wa viungo na mishipa ya fahamu.utaona watu walioparalyse wanasema wanakwenda hosp. kwa mazoezi basi yale mazoezi ndio hutolewa na hao wataalamu wa physiotherapy .