FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

nashukuru sana my dada FL1 umeonyesha ukomavu wa akili yako.huna papara ,huna jazba ,una hekima na busara pia,nitakupenda siku zote na kukuheshimu kama dada wewe u mstaarabu sana hasa ukizingatia jf kuna kila aina ya mambo,kama ukipenda keep in touch with me ,mimi ni mama kama wewe huna haja ya kuogopa all the best ktk maisha yako ya ndoa
Preassure is mine ew nashukuru kwa uelewa wako nafurahi kujua wewe ni mama kama mie natumaini tutaongea lugha moja sasa
 
mi nilipumzika jana nilikua hoi week-end ilianza alhamis,leo baadae labda,nawewe umelala kwel kwel jana inaelekea ulikua anga tamu
Niko busy nasaka mihela miaka 15 baada ya beijing no weekend babukijana
 
Babukijana msg rcvd with much rgds will come back to u soon eeh nina matatizo ya kiufundi kule,tetetetetet
 
Babukijana msg rcvd with much rgds will come back to u soon eeh nina matatizo ya kiufundi kule,tetetetetet
ha haaa ha,hope utafix,isije ikawa kibabu kimefanya urasimu na wazee wa kijiji wakapiga ufisadi maana mikwara yake duuh.😀
 
Back
Top Bottom