Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Me 4 ..Nyani Ngabu
" Miafrica ndivyo tulivyo"
What do you mean FL1? Do you mean you love me too? Say yes please....
Don't be scared of Mwanakijiji...I can handle him....he is only 5'2....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me 4 ..Nyani Ngabu
" Miafrica ndivyo tulivyo"
ok.. kuna watu wanatafuta kubondwa kwa kweli; mtu keshajiita FL1... sasa juhudi nyingine zote zinatakiwa kutafuta other positions.. any attempt to interfere with her status will be met with a response not seen since the time of Genghis Khan!
Dada wa watu kasema keshaolewa na anampenda mmewe, watu wanataka kujua kama mumewe yupo humu.. na wengine hawaamini kabisa..sasa mwisho mtu atafunga safari kwenda kuhakikisha... halafu yakatokea ya kusoma kwenye magazeti.
FL1 ukiona wanazidi kukukwaza just let me no.. nitamuomba ruhusa bi mkubwa hapa kama naweza kuwa of help.
Ebana eeeh mbona umekuwa mkali hivyo kama mbogo? Wewe ndiye mwenye mali nini? Lol.....manake ni wewe uliyeleta habari za FL1 kufiwa na rafiki yake....halafu umenigongea senki pale niliposema I love FL1....things that make me go hmmmmm....
Heheeeeeeeeeeee....Si umeisoma sentensi ya mwisho ya MMK lakini;
FL1 ukiona wanazidi kukukwaza just let me no.. nitamuomba ruhusa bi mkubwa hapa kama naweza kuwa of help.
Ebana eeeh mbona umekuwa mkali hivyo kama mbogo? Wewe ndiye mwenye mali nini? Lol.....manake ni wewe uliyeleta habari za FL1 kufiwa na rafiki yake....halafu umenigongea senki pale niliposema I love FL1....things that make me go hmmmmm....
Ebana eeeh mbona umekuwa mkali hivyo kama mbogo? Wewe ndiye mwenye mali nini? Lol.....manake ni wewe uliyeleta habari za FL1 kufiwa na rafiki yake....halafu umenigongea senki pale niliposema I love FL1....things that make me go hmmmmm....
noooo.. mbona hunitakii mema wewe..!! let me put it this way.. " I have vested interest" katika yale yanayomtokea.. (inawezekana ni damu moja na shemeji yenu mkubwa hapa"..

Haya bana ngoja nimwache....nisije nikakuharibia zaidi maana kunyimwa "chakula" si mchezo....na kama FL1 yuko karibu na shemeji yetu basi what affects FL1 affects our shemeji too.....
ok.. kuna watu wanatafuta kubondwa kwa kweli; mtu keshajiita FL1... sasa juhudi nyingine zote zinatakiwa kutafuta other positions.. any attempt to interfere with her status will be met with a response not seen since the time of Genghis Khan!
Dada wa watu kasema keshaolewa na anampenda mmewe, watu wanataka kujua kama mumewe yupo humu.. na wengine hawaamini kabisa..sasa mwisho mtu atafunga safari kwenda kuhakikisha... halafu yakatokea ya kusoma kwenye magazeti.
FL1 ukiona wanazidi kukukwaza just let me no.. nitamuomba ruhusa bi mkubwa hapa kama naweza kuwa of help.
He he heeeeeeee.FL1 ni mke wa Mwanakijiji oh no natania tu!
ah.. miye natoka humu bwana..haya mambo ya kupigwa pigwa mikwara hayafai..

Unaweza kukumibia kivuli chako?
Yesterday, 02:46 PM
Ama![]()
Ama is so erratic to endure
Senior Member
Join Date: Fri Jan 2010![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Posts: 228
Thanks: 138
Thanked 145 Times in 92 Posts
Rep Power: 21![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Re: FL1 -Sorry kama nitakukwaza !!!!!![]()
Quote:
Hivi siku hizi JF kuna nini? samahani kama nimewakwaza LOL
Zama za dataz zimeisha maskini, upambanaji, upiganaji, kuweka maslahi ya Taifa etc kumeenda arijojo.
Wenye low IQ ndio wanapenda sana kuongelea mapenzi.
Samahani kama nimewakwaza!
__________________
If you do me, I do you.
You rub ma back, I rub yours.
hujatukwaza striker...mechi vipi?....samahani wengine kama nitakuwa nimewakwaza
kwenye msafara wa mamba na kenge wapo lakini safari inaendelea Preta
samahani kama nimewakazwa .......
wazima mabinamu?