FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BHT i salute you 🙂kazi unaiweza ...
rusha mabandiko ule senksi zangu mama/BABA!BURE TU HIZI😀😀acha uvivu bht ... bonyeza kitufe basi .... 🙂
sina mazoea n hii kitu ujue.....mnanilaumu bure tu jamani......nimegonga pale ulipodai kwa nguvu na kabla y ahapo pia nimekugondea.....na hapa tena??? aaah zimeisha store ngoj aniweke order kwa invisible ani-supply!!
Thats good kama amelewa tatizo lake, sisy na wewe si umemsamehe?
Niligundua kwamba moderator wa JF ana IQ kubwa baada ya kuiona hiyo option ya kugonga SENKSI! 🙂
Napinga kwa nguvu zooooooooote...Haniwakilishi.Kuna haja ya mie kujibu hayo maswali ya huyu EW jamani hebu kuweni fair wana JF
Ni kweli anawawakilisha nyie ??? naomba kura ya VETO IPIGWE
LIVE YOUR LIFE MAMAA LA FL1!Lily Flower nimemsamehe ila kila nikiosoma Topic nakuwa na maswali mengi kichwani ..moyo wake ndo umetuma kufanya hivyo.....Sijui kakimbilia wapi
thanx
Mabinamu leo tunakutana wapi tena ...?😀
rusha mabandiko ule senksi zangu mama/BABA!BURE TU HIZI😀😀
hazina implications zozote hapa jamvini wala katika life
leo chawote mama!Mabinamu leo tunakutana wapi tena ...?😀
nimekupiga SENKSI hata kwenye hili bandiko pia😀😀mkuu sitaki niwe kama MziziMkavu .... anarusha mabandiko mpaka watu wanampiga madongo apunguze.
Its just a matter of showing appreciation tu mkuu and nothing else! Binafsi naamini content ya mtu anachochangia ni muhimu zaidi ya hayo mabandiko!!
Pole, piga moyo konde mungu atukusaidiahahahaha AK inawezekana ni mmoja wa watu wanaonifahamu ameingia kwa jina jingine ..Mi sijui na ndo maana nilikosa cha kujibu ??am christian sipendi kusema lililo baya !!!
Na kama ananifahamu kwa nn anataka niweke Personal deatil zangu hapa??
Nasikia hasira !!!!!
LIVE YOUR LIFE MAMAA LA FL1!
life is too short to be stressed-up
Pole sana FL1.. Najua UMEKWAZIKA sana angalau ameanzia SAMAHANI... MUNGU akutie NGUVU..
BTW,jamaa kama kaniwahi nilitaka kukuuliza hili swali kipindi lakini nikaogopa kukukwaza,sorry kama nimeshakukwaza.Thanx Geoff tuko Pamoja zaidi ...!!!
leo chawote mama!