Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Leo umenifurahisha sana FL-1...umenikumbusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hata tupokuwa shuleni kuna mtu alikuwa anashindwa soma la Siasa? Halafu eti wanaojadili siasa muda wote nchi hii leo hii ndio wanajiita wana IQ kubwa!
Kwanza siasa kama za Bongo zimejaa vilaza ndio maana hata nchi haiendelei! Kila siku wanakamatwa na digriii feki.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar alitangaza kuanza form one mwaka huu maana aliishia darasa la saba! Ndio wenye IQ kubwa hao!
Msamehe kama amekukwazaMimi nijuavyo mwenye IQ kubwa ni moderator wa JF ambaye alimeweka majukwaa mengi halafu membaz wenyewe watajichuja kulingana na wanayotaka kujadili na kusoma! Ukiona jukwaa fulani linaboa hamia jingine ambako utaona panakufaa! Sio kusema watu wana IQ ndogo wakati wala huwafahamu!
Ndio maana kuna hata jukwaa la mambo ya kikubwa!Everything under one roof!![]()
Sometimes usipo zidisha huwa unamwaga mapoint wewee, vp Ubunge jimbo la Kawe haukufai?
What's going on here?
weee usimshauri kabisa kwetu hatuna hobi na siasa.......
Sometimes usipo zidisha huwa unamwaga mapoint wewee, vp Ubunge jimbo la Kawe haukufai?
samahani huyu alosema hivi yupo page gani tena......
debe tupu..........haliishi kupiga kelele!!! malabuku!!![/QUOTE]
Nimeipenda hii
Samahani kama nimekukwaza.
Nitarudi.
What's going on here?
Siasa inalipa sana na yeye analijua hilo umaskini unauaga hivi hivi na umaarufu unaukwaa.
.................ipo kwenye uongo wanaoumwaga kwa wasikilizaji wao ambao ndio wapa kula wao.....ila hawana IQ nyingine zaidi ya hiyoAaah siasa ni kwa ajili ya vilaza bwana, ila kwa bahati mbaya sana ndio wanajiita wana IQ kubwa!
mie naona tu FL1 hata sijui
nothing serious shem
hw are you??
samahani huyu alosema hivi yupo page gani tena......
debe tupu..........haliishi kupiga kelele!!! malabuku!!![/QUOTE]
Nimeipenda hii
Samahani kama nimekukwaza.
Nitarudi.
uje bana usirudi......
NOTHING really!What's going on here?
I'm good...I just woke up...
Leo umenifurahisha sana FL-1...umenikumbusha
hahahaha AK inawezekana ni mmoja wa watu wanaonifahamu ameingia kwa jina jingine ..Mi sijui na ndo maana nilikosa cha kujibu ??am christian sipendi kusema lililo baya !!!
Na kama ananifahamu kwa nn anataka niweke Personal deatil zangu hapa??
Nasikia hasira !!!!!
NOTHING really!
umepiga pull-over dude?