FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

Currently Active Users Viewing This Thread: 59 (30 members and 29 guests)
CarthbertL, Akili Unazo!, Ama, Balantanda, bht, Bigirita, carmel, Dreamliner, Enny, FirstLady1, Isskia, Kaitaba, Kyachakiche, Laligeni, Lily Flower, manuu, Maria Roza, Masaki, mayenga, mchumileo, Mtu Kwao, nyati, Shishi, tall, vivian
Sidhani kama unazo!
 
Hakafu kama ana IQ kubwa si aende akaombe kazi NASA(!?) Au mwenzetu kujadili umeme kupita au kutopita mbele ya Kanisa la Kakobe ndio kuwa na IQ kubwa?
H e cannot even identify himself hapa.....sijui kafata nini!! Siasa si hobi ya kila mtu humu na taifa hili halijengwi kwa siasa tu.......aende akaendelee kuwapigia wananchi blablah as for some of us here tumechoka, we do the real things.......(lazima umenisoma hapa)
wakwetu kwa kiwango cha hasira ulichonacho msamehe bure ameshachoka huyo

kanichafulia siku yangu......ya kwake ya high IQ yako wapi......who told that 'whoever' to poke his/her nose in here, kwa watu 'wenye akili ndogo'
 
Ha ha ha mziki wa jana ulikuwa si n'chezo alafu nilikuwa na maralia kiaaina nilivyo maliza mizinga 2 mikubwa huku nikiangalia game la Man U nimeamka asubuhi mwepesi saizi naenda kukupiga mchangani nina game taiti leo.

ahaaah mwana kila la kheri.....usiache kunipa matokeo mi leo nitakuwa faragha kidogo
 
kwa niaba ya jina langu....na according to me...mtu akiuliza swali lazma nimjibu.....FLI kama no harm on yo side.....NDIO.
 
Yupo page ya pili huyo anaitwa Ama anajiona ana IQ kubwa.

Unajua watu wamechoka na siasa bana kila kukicha ni hayo hayo mambo hayatekelezeki ngoja tujiliwaze huku na kujipanga upya. Mwaache na IQ kubwa yake ya kumjadili RA kaiba mara hajaiba mara fisadi mara si fisadi wkt yeye anakula na kulala wao wanaumia humu.

Mimi nijuavyo mwenye IQ kubwa ni moderator wa JF ambaye alimeweka majukwaa mengi halafu membaz wenyewe watajichuja kulingana na wanayotaka kujadili na kusoma! Ukiona jukwaa fulani linaboa hamia jingine ambako utaona panakufaa! Sio kusema watu wana IQ ndogo wakati wala huwafahamu!

Ndio maana kuna hata jukwaa la mambo ya kikubwa!
icon10.gif
Everything under one roof!
 
Misamiati mipya hiyo, si unajua tena kwenye Kiswahili Fasaha mimi ni kilaza! 🙂

mamushka ni mama kwa kiswahili
mummy kwa kinyamwezi
umenielewa papushka sasa??
 
Mimi nijuavyo mwenye IQ kubwa ni moderator wa JF ambaye alimeweka majukwaa mengi halafu membaz wenyewe watajichuja kulingana na wanayotaka kujadili na kusoma! Ukiona jukwaa fulani linaboa hamia jingine ambako utaona panakufaa! Sio kusema watu wana IQ ndogo wakati wala huwafahamu!

Ndio maana kuna hata jukwaa la mambo ya kikubwa!
icon10.gif
Everything under one roof!

hahaaaaaa Masaki I love you soooo much hata sijamalizia kusoma ulichoandika........
 
Nilichojifunza FL1 na mtoa mada they know each other na ndo maana mtoa maada amekuja specifically na hataki mtu mwingine amjibie ila yeye mwenye kwa hiyo tunaweza jua mengi yaliyo njee ya hii mada.

If you go deeper unaweza jua kuwa huyu mtoa mada anamjuaa/kama siyo kumfahamu FL1 ndo maana anataka alinganishe ayasemayo hapa JF na matendo yake halisia na ndo maana amesitick kutaka kupewa majibu kwa maana nyingi s/he was objective na anachokitaka.
BHT umekuwa unamjibu kwa jaziba kweli na nikumbuka sredi ya Pearl leo kweli unaweza kuwa mkatili,unayebeba mzigo wa mwenzio hata kama hujaombwa,unayemhukumu mtu hata kabla hajahukumia,mfukunyuzi n.k
 
Pigeni vigele gele jamani, kaja sasa kutoa majibu! Naona mpka WOS ndani ya nyumba anasubiri majibu! 🙂
icon10.gif

Masaki status yangu iko vere simple sijawahi kuficha kwa mtu anayeniuliza ..Na hiyo Topic anayosema inajieleza niconfirm nn tena mie 😀😀
na wewe unataka kujua????????????
 
H e cannot even identify himself hapa.....sijui kafata nini!! Siasa si hobi ya kila mtu humu na taifa hili halijengwi kwa siasa tu.......aende akaendelee kuwapigia wananchi blablah as for some of us here tumechoka, we do the real things.......(lazima umenisoma hapa)

kanichafulia siku yangu......ya kwake ya high IQ yako wapi......who told that 'whoever' to poke his/her nose in here, kwa watu 'wenye akili ndogo'

Hivi hata tupokuwa shuleni kuna mtu alikuwa anashindwa soma la Siasa? Halafu eti wanaojadili siasa muda wote nchi hii leo hii ndio wanajiita wana IQ kubwa!
Kwanza siasa kama za Bongo zimejaa vilaza ndio maana hata nchi haiendelei! Kila siku wanakamatwa na digriii feki.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar alitangaza kuanza form one mwaka huu maana aliishia darasa la saba! Ndio wenye IQ kubwa hao!
 
Nilichojifunza FL1 na mtoa mada they know each other na ndo maana mtoa maada amekuja specifically na hataki mtu mwingine amjibie ila yeye mwenye kwa hiyo tunaweza jua mengi yaliyo njee ya hii mada.

If you go deeper unaweza jua kuwa huyu mtoa mada anamjuaa/kama siyo kumfahamu FL1 ndo maana anataka alinganishe ayasemayo hapa JF na matendo yake halisia na ndo maana amesitick kutaka kupewa majibu kwa maana nyingi s/he was objective na anachokitaka.
BHT umekuwa unamjibu kwa jaziba kweli na nikumbuka sredi ya Pearl leo kweli unaweza kuwa mkatili,unayebeba mzigo wa mwenzio hata kama hujaombwa,unayemhukumu mtu hata kabla hajahukumia,mfukunyuzi n.k
akili unazo ndugu!
HOMMIE WANGU YUPO WAP/?
 
hahahaha AK inawezekana ni mmoja wa watu wanaonifahamu ameingia kwa jina jingine ..Mi sijui na ndo maana nilikosa cha kujibu ??am christian sipendi kusema lililo baya !!!
Na kama ananifahamu kwa nn anataka niweke Personal deatil zangu hapa??
Nasikia hasira !!!!!
 
Masaki status yangu iko vere simple sijawahi kuficha kwa mtu anayeniuliza ..Na hiyo Topic anayosema inajieleza niconfirm nn tena mie 😀😀
na wewe unataka kujua????????????

Hapana, nimefurahi tu ulipojitokeza tena, maana watu walishakuwa ''concerned'' kwamba mwanzisha mada amekukwaza!
 
Back
Top Bottom