FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

Hivi hata tupokuwa shuleni kuna mtu alikuwa anashindwa soma la Siasa? Halafu eti wanaojadili siasa muda wote nchi hii leo hii ndio wanajiita wana IQ kubwa!
Kwanza siasa kama za Bongo zimejaa vilaza ndio maana hata nchi haiendelei! Kila siku wanakamatwa na digriii feki.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar alitangaza kuanza form one mwaka huu maana aliishia darasa la saba! Ndio wenye IQ kubwa hao!

hahaaaa MASAKI leo uko sober sana mi sijakuzoea hivo
siasa ndo soma pekee ambalo nilikwa sipekui daftari kwa kweli LOL

AFU SUBIRI KUNA KITU HUYU FIDEL KAFANYA HAPA NA IQ YAKE NDOGO.......
 
Mimi nijuavyo mwenye IQ kubwa ni moderator wa JF ambaye alimeweka majukwaa mengi halafu membaz wenyewe watajichuja kulingana na wanayotaka kujadili na kusoma! Ukiona jukwaa fulani linaboa hamia jingine ambako utaona panakufaa! Sio kusema watu wana IQ ndogo wakati wala huwafahamu!

Ndio maana kuna hata jukwaa la mambo ya kikubwa!
icon10.gif
Everything under one roof!
Msamehe kama amekukwaza
 
Sometimes usipo zidisha huwa unamwaga mapoint wewee, vp Ubunge jimbo la Kawe haukufai?

Aaah siasa ni kwa ajili ya vilaza bwana, ila kwa bahati mbaya sana ndio wanajiita wana IQ kubwa!
 
Sometimes usipo zidisha huwa unamwaga mapoint wewee, vp Ubunge jimbo la Kawe haukufai?

Afu na wewe tabia y aku-edit post za watu ili ulete mfarakano umeitoa wapi ????
 
samahani huyu alosema hivi yupo page gani tena......

debe tupu..........haliishi kupiga kelele!!! malabuku!!![/QUOTE]
Nimeipenda hii
Samahani kama nimekukwaza.

Nitarudi.
 
Siasa inalipa sana na yeye analijua hilo umaskini unauaga hivi hivi na umaarufu unaukwaa.

nani kakwambia Binamu ni maskini..........
au unataka afe kabla y akufaidi jasho lake wewe eeeh!!!
 
Aaah siasa ni kwa ajili ya vilaza bwana, ila kwa bahati mbaya sana ndio wanajiita wana IQ kubwa!
.................ipo kwenye uongo wanaoumwaga kwa wasikilizaji wao ambao ndio wapa kula wao.....ila hawana IQ nyingine zaidi ya hiyo
 
Nilipokuwa college mwl wangu alisema UKIMYA NI KIPIMO CHA BUSARA YA MTU....ni sahihi kabsaaa..ndo maana hata mzee nkapa alipoamua kuongea alisema NAMWACHIA MUNGU....nami huwa nasema SIJIBU UPUUZI....leo dada yangu umekaza mwanzo mwisho mpaka jamaa kala kona maana haelewi ajipime vipi ama ni MPUUZI, ama UMEMWACHIA MUNGU etec...kaaaazi kwelikweli...ni maoni tuuu
 
hahahaha AK inawezekana ni mmoja wa watu wanaonifahamu ameingia kwa jina jingine ..Mi sijui na ndo maana nilikosa cha kujibu ??am christian sipendi kusema lililo baya !!!
Na kama ananifahamu kwa nn anataka niweke Personal deatil zangu hapa??
Nasikia hasira !!!!!

Ndugu yangu FL1 ukiangalia vizuri utangulizi wake ni kwamba ameshakupm akiuuliza kitu na hukumjib ndo maana akasikitika kwa kwambia kuwa kutokana na busara zako ambazo umekuwa ukizitoa humu hakutegemea kumfanyia hayo na ndo maana amekuuliza nani mume wako humu JF uliyemwandikia kuwa unampenda?That is what sh/he wanted.
na kama kweli umeolewa inawezekana akawa wifi yako au mtu wa karibu wa familia yenu anataka aone unavyojibaraguza humu JF kuhussu mumeo utakuwa tayari kueleza uma kuwa mumeo ni GEOF 'samahani kama nimekukwaza.Kama intelectual yeye hawezi kuwa mjinga mpaka akaja specificaly kwa issue inayokuhusu wewe tu na hakuwa anenda of point he/she was sticking kwenye ombi lake tu.

So inabidi tuwe makini tuyafanyao humu yaconform na maisha yetu halisia kuna siku tunaweza haribu kila kitu japo tunatumia majina bandia.

Angalizo kwa BHT usiwe unabeba mzigo usioujua ujazo wake au uzito na kumtuhumu aliufunga kuwa ni mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom