Flash tools or Signed Firmware

hivi ipo njia rahisi ya kubypass google verification maana zile video za youtube sizielewi kabisa,au hayo mambo siyawezi niyaache???
 
Ukizoea kutengeneza simu za Tecno utaona kila simu ni rahisi kutengeneza. Si oppo tu kwamba ndiyo simu tata kwa maswala ya kuflash. Zipo kampuni nyingi za simu ambazo zimezuia uwezo wa flashing tools kuweza kufanya kazi kwenye simu zao.

Wana software maalum kwa ajili ya simu zao na zinapatikana service center tu, Hii ndio imeleta biashara ya remotely kwa simu aina hiyo.
 
Samsung yangu J5 ilishawahi kunigandia,inawaka ila haifiki mwisho.
 
hizo huduma zinalipiwa na kufanyiwa actvation kama kuna iliyokushinda ebu ilete hapa tutoe utata sio kusema zipo na hatuzioni
 
hizo huduma zinalipiwa na kufanyiwa actvation kama kuna iliyokushinda ebu ilete hapa tutoe utata sio kusema zipo na hatuzioni
Kama una access ya xiomi authentication account tufanye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…