Flash tools or Signed Firmware

Flash tools or Signed Firmware

hivi ipo njia rahisi ya kubypass google verification maana zile video za youtube sizielewi kabisa,au hayo mambo siyawezi niyaache???
 
kwa sisi tanzania kuna watanzania wanafanya hizo kazi tena nipo nao kukufanyia remoty ya kutoa lock ama frp inaenda kwa bei ya kitanzania kabisa tena chap tu na mnafanya kazi mkiwa mnachat kiswahili yaani chap tu kama unayo sema nikuunganisha tupige kazi chap kwa simu inayoleta shida kwa sasa ni OPPO peke yake zingine mtelemko tu aaan
Ukizoea kutengeneza simu za Tecno utaona kila simu ni rahisi kutengeneza. Si oppo tu kwamba ndiyo simu tata kwa maswala ya kuflash. Zipo kampuni nyingi za simu ambazo zimezuia uwezo wa flashing tools kuweza kufanya kazi kwenye simu zao.

Wana software maalum kwa ajili ya simu zao na zinapatikana service center tu, Hii ndio imeleta biashara ya remotely kwa simu aina hiyo.
 
Samsung yangu J5 ilishawahi kunigandia,inawaka ila haifiki mwisho.
 
Ukizoea kutengeneza simu za Tecno utaona kila simu ni rahisi kutengeneza. Si oppo tu kwamba ndiyo simu tata kwa maswala ya kuflash. Zipo kampuni nyingi za simu ambazo zimezuia uwezo wa flashing tools kuweza kufanya kazi kwenye simu zao.

Wana software maalum kwa ajili ya simu zao na zinapatikana service center tu, Hii ndio imeleta biashara ya remotely kwa simu aina hiyo.
hizo huduma zinalipiwa na kufanyiwa actvation kama kuna iliyokushinda ebu ilete hapa tutoe utata sio kusema zipo na hatuzioni
 
hizo huduma zinalipiwa na kufanyiwa actvation kama kuna iliyokushinda ebu ilete hapa tutoe utata sio kusema zipo na hatuzioni
Kama una access ya xiomi authentication account tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom