mbarakasaidi Member Joined Feb 19, 2017 Posts 86 Reaction score 20 May 10, 2024 #1 Flash inawaka ila nikiichomeka kwenye PC inalazimisha niifomat. Ila notification inasema tap to fix na signal ya flash inawaka ,hii wadau inaweza kupona na DATA zikaendelea kubaki?
Flash inawaka ila nikiichomeka kwenye PC inalazimisha niifomat. Ila notification inasema tap to fix na signal ya flash inawaka ,hii wadau inaweza kupona na DATA zikaendelea kubaki?
M Mtanzania2020 JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 817 Reaction score 1,752 May 10, 2024 #2 Sidhani labda umuulize bwana Google
mbarakasaidi Member Joined Feb 19, 2017 Posts 86 Reaction score 20 May 10, 2024 Thread starter #3 Mtanzania2020 said: Sidhani labda umuulize bwana Google Click to expand... Asante, ngoja waje wengine.
Mtanzania2020 said: Sidhani labda umuulize bwana Google Click to expand... Asante, ngoja waje wengine.