luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
yangu ilifanya hivyo hivyo wakasema zile taa za ndani zimekufa , kupeleka kwa fundi alichomelea kitu kwa siri ikafanya kazi na wala taa zilikuwa nzima. Kuna safu ya taa tano, kama zimekufa, ukiwasha TV maneno/maandishi yanaoneka kwa giza lakini picha hazionekani .... angalia kwa kuchungulia kwa karibu na screen kama kuna maandishi, then kuna uwezekano taa zimeungua...Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue
Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
Hizo ni taa tu Kama alivyosema mdau hapo juu, hata Mimi ilinitokeaWajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue
Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
Mkuu shukrani, ila hii haitoi sauti yaan uki plag ktk umeme ina wakaa tu taa ile ya chini na ukiiwasha na remote hai wakiKama inatoa sauti...Shida itakuwa ni taa tu ambazo zipo style ya mikanda na mkanda mmoja unauzwa kati ya sh 15k-30k inategemea na sehemu ulipo..Hapo andaa hela ya mikanda mitatu na hela kidg ya ufundi haizidi 100k.
Hiyo taa inawaka moja kwa moja au inablink?Mkuu shukrani, ila hii haitoi sauti yaan uki plag ktk umeme ina wakaa tu taa ile ya chini na ukiiwasha na remote hai waki
Ina waka moja kwa moja mkuuHiyo taa inawaka moja kwa moja au inablink?
Huenda ni tatizo lengine kama hata sauti haiwaki
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata mimi changu niliagiza zazibar, ni zile za muda kidogo ila ina access ya internet. Inapiga mzigo balaa.Majibu Umepewa Tafuta Fundi Utatue Tatizo
Nina Chuma Samsung Oops!! Yaani Ni Zile Flat Za Mwanzo Kabisa
Ninenunua Mtumba Zanzibar
Chuma Kinachapa Kazi
Wewe ni muongo!Hata mimi changu niliagiza zazibar, ni zile za muda kidogo ila ina access ya internet. Inapiga mzigo balaa.
Niuzie.Majibu Umepewa Tafuta Fundi Utatue Tatizo
Nina Chuma Samsung Oops!! Yaani Ni Zile Flat Za Mwanzo Kabisa
Ninenunua Mtumba Zanzibar
Chuma Kinachapa Kazi
Haikusumbua Tena??yangu ilifanya hivyo hivyo wakasema zile taa za ndani zimekufa , kupeleka kwa fundi alichomelea kitu kwa siri ikafanya kazi na wala taa zilikuwa nzima. Kuna safu ya taa tano, kama zimekufa, ukiwasha TV maneno/maandishi yanaoneka kwa giza lakini picha hazionekani .... angalia kwa kuchungulia kwa karibu na screen kama kuna maandishi, then kuna uwezekano taa zimeungua...
Inawaka red au blue?Ina waka moja kwa moja mkuu
Red ya power off na OnInawaka red au blue?