Flat Screen Tv yangu haionyeshi Picha ila taa ya power ina wakaa tu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue

Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
 
Kama inatoa sauti...Shida itakuwa ni taa tu ambazo zipo style ya mikanda na mkanda mmoja unauzwa kati ya sh 15k-30k inategemea na sehemu ulipo..Hapo andaa hela ya mikanda mitatu na hela kidg ya ufundi haizidi 100k.
 
yangu ilifanya hivyo hivyo wakasema zile taa za ndani zimekufa , kupeleka kwa fundi alichomelea kitu kwa siri ikafanya kazi na wala taa zilikuwa nzima. Kuna safu ya taa tano, kama zimekufa, ukiwasha TV maneno/maandishi yanaoneka kwa giza lakini picha hazionekani .... angalia kwa kuchungulia kwa karibu na screen kama kuna maandishi, then kuna uwezekano taa zimeungua...
 
Hizo ni taa tu Kama alivyosema mdau hapo juu, hata Mimi ilinitokea
 
Kama inatoa sauti...Shida itakuwa ni taa tu ambazo zipo style ya mikanda na mkanda mmoja unauzwa kati ya sh 15k-30k inategemea na sehemu ulipo..Hapo andaa hela ya mikanda mitatu na hela kidg ya ufundi haizidi 100k.
Mkuu shukrani, ila hii haitoi sauti yaan uki plag ktk umeme ina wakaa tu taa ile ya chini na ukiiwasha na remote hai waki
 
Majibu Umepewa Tafuta Fundi Utatue Tatizo
Nina Chuma Samsung Oops!! Yaani Ni Zile Flat Za Mwanzo Kabisa

Ninenunua Mtumba Zanzibar
Chuma Kinachapa Kazi
 
Hata mimi changu niliagiza zazibar, ni zile za muda kidogo ila ina access ya internet. Inapiga mzigo balaa.
 
Kma haitoi sauti bas itakua Tatizo jingine sio taa na huenda gharama zikawa chini
 
Kwa hiyo mafundi wengi janja janja yangu iliharibika hivyo hivyo kwa kutoa tu sauti bila picha October 2020 japo brand haikua hiyo mafundi waliishindwa hadi duka niliponunulia. Niliishia kuiuza scraper
 
yangu ilifanya hivyo hivyo wakasema zile taa za ndani zimekufa , kupeleka kwa fundi alichomelea kitu kwa siri ikafanya kazi na wala taa zilikuwa nzima. Kuna safu ya taa tano, kama zimekufa, ukiwasha TV maneno/maandishi yanaoneka kwa giza lakini picha hazionekani .... angalia kwa kuchungulia kwa karibu na screen kama kuna maandishi, then kuna uwezekano taa zimeungua...
Haikusumbua Tena??
 
Back
Top Bottom