Flaviana: "Black men are sexy"

Flaviana: "Black men are sexy"

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wanawake wenye tamaa huwa wanafiki sana. Hasa hawa wetu huku. Huyu ni mwanamke maarufu aliandika yake ya moyoni kuwa anavutiwa kingono na wanaume weusi.

Ijapo bwana yake simfahamu, hiyo ni kengele ya tahadhari kwamba anaweza kufanya chochote na mtu mweusi aliyevutiwa naye. Ninahisi bwana wake hana hiyo rangi nyeusi. Huenda yuko naye kwa tamaa ya pesa na umaarufu wake. Ila havutiwi naye kingono.

Ila sasa ni kwanini hakutafuta huyo mweusi hadi anasubiri kapata mwanaume mwenye light skin color ndipo anatangaza yake ya moyoni leo?

Namtakia balaa zito kwa kujaribu kumuumiza mwanaume wake sasa, wakati alikuwa ana nafasi ya kumkataa kwa vile ana choice yake, yaani wanaume weusi.
 
Usimwamini mwanamke, hawa maanishagi wanachokiongea hao

Ukitaka kujua wanawake hawa maanishi wanacho ongea,angalia wanavyo penda watoto weupe kuliko weusi.

Sasa utapendaje mtoto mweupe hafu mme unataka hawe mweusi kama sio janja janja.

Akili mtu wangu usihamini mwanamke kwa kauli zake hata kidogo hawa maanishi hata kidogo wakisema hawapendi ni kinyume chake.
 
Wanawake wenye tamaa huwa wanafiki sana.Hasa hawa wetu huku.
Huyu ni mwanamke maarufu aliandika yake ya moyoni kuwa anavutiwa kingono na wanaume weusi.

Ijapo bwana yake simfahamu,hiyo ni kengele ya tahadhari kwamba anaweza kufanya chochote na mtu mweusi aliyevutiwa naye.Ninahisi bwana ake hana hiyo rangi nyeusi.Huenda yuko naye kwa tamaa ya pesa na umaarufu wake.Ila havutiwi naye kingono.

Ila sasa ni kwanini hakutafuta huyo black hadi anasubiri kapata mwanaume mwenye light skin color ndipo anatangaza yake ya moyoni leo?

Namtakia balaa zito kwa kujaribu kumuumiza mwanaume wake sasa wakati alikuwa ana nafasi ya kumkataa kwa vile ana choice yake yaani wanaume weusi.
Kwa nini unapinga uhalisia?
Mpingo ndo habari ya dunia!
 
kuna picha ya katibu inazungukaa kumbe alikuwa mchapa kazi sana yule jamaa
 
Back
Top Bottom