hewizet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 2,418
- 1,535
kwa hii picha naomba nikupinge mkuu, we umeangalia picha embu jaribu kutizama sasa kwa umakini utagundua huyo babe anatizamikaUkiona demu anaonesha msambwanda akiwa "Nyuma geuka" tambua kabisa kwamba reception ina ukakasi