Flora kwisha habari yake,Mbasha amtambulisha mama mchungaji,Snura anasubiri

Flora kwisha habari yake,Mbasha amtambulisha mama mchungaji,Snura anasubiri

Ngoja kijana Gwajima amuone huyu demu, muda si mrefu Mbasha ataanza kulia tena mitandaoni.
 
Ningekuwa mi mbasha,ningeng'oa chombo yaani ht flora akiona hivi anajiona mavi
 
Kama kweli huyu jamaa anayoyafanya ni haki mbele za mungu wake basi na mie siku ya mwisho lazima niingie mbinguni kwa bwebwe. Hivi mtumishi unatambulisha utazani ni sisi masela tu wa mtaani.
 
Huyu jamaa kaanza lini uchungaji tena??now days unaamua tu na unakuwa mchungaji..
 
Mpaka mama Mchungaji anatuonesha chura wa "unga robo" ?

Hapo ndipo utajua Mungu hayupo, angekuwepo, Mama mchungaji angekuwa na heshima kidogo.
Duuh!!So sababu ya huyo to imedhihirisha hayupo...[emoji52][emoji52][emoji52]
 
Mpaka mama Mchungaji anatuonesha chura wa "unga robo" ?

Hapo ndipo utajua Mungu hayupo, angekuwepo, Mama mchungaji angekuwa na heshima kidogo.
Hahah naona umetumia fulsa mkuu
 
Sio mbaya kwani Mbasha kaamua kuutangazia ulimwengu kuwa; "Nazini". Hata angelitoa albamu 100 anatuthibitishia sasa kuwa; Kuimba ni fani sio ucha Mungu.
Halafu utasikia; Askofu flani wa kanisa flani ndo kaifungisha hii ndoa. Peponi hatuendi kwa cheo chako cha dini. Bali tumbo lako ndo litatuonesha sehemu yako katika kanisa la Bwana.
Afanye kiume aemuendee mkewe wa kwanza naye sio mwingine bali Flora. Akithubutu kuoa tena ajue, Anazini. Naye Flora aliko, Anazini.
 
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja baada ya harusi yao hapo mwezi wa pili. View attachment 944330
Wakuu yapi maoni yenu
Huo mkono kwenye nywele za huyo dada ni wa nani?
 
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja baada ya harusi yao hapo mwezi wa pili. View attachment 944330
Wakuu yapi maoni yenu

Mkuuu jitahid sana kuleta na picha zinazoonyesha sura ya hiyo mama mchungaji.....tusje kutana nae tukamoa salam wa mambo mrembo badala ya Bwana Asifiwee!!!!.
 
Mkuuuu husilazimeshe nipate baniii humu....pita zako tuu!!!
Acha Uzwazwa wewe mbwiga,ukileta maneno ya shombo unajibiwa majibu ya shombo....Unajibiwa kama ulivyokuja....Ban ya nini wakati kuna Ignore List?
 
Acha Uzwazwa wewe mbwiga,ukileta maneno ya shombo unajibiwa majibu ya shombo....Unajibiwa kama ulivyokuja....Ban ya nini wakati kuna Ignore List?

Ignore list ya nn mpaka nifike huko?,ww kausha tu pambana na hali yako mkuuu.
 
Back
Top Bottom