Uchaguzi 2020 Flora Lauwo wa Nitetee Foundation atia nia Viti Maalum, CCM

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
317
Reaction score
520
Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Nitetee Foundation kinachorusha runingani mambo ya kijamii, hasa matatizo , mwanadada Flora Lauwo ametia nia kugombea ubunge, Viti Maalum CCM, Mwanza.
1602843821280.png
 
Flora baki na huduma aliyokupa Mungu
Huduma ya kuwasaidia wenye shida hasa watoto, walemavu ni huduma ya kiroho
Usijitenge na Mungu
Mungu wetu ni wa ajabu sana
Siasa itakufundisha mengine usiyoyatarajia
Ni kwa sababu hata huko kusaidia wenye shida wanafanya ili waonekane mbele za watu ili baadaye wajiingize kwenye kisima cha mambo ya hovyo-yaani siasa hizi, na ndio maana, wanaposaidia wanaongozana na makamera ya waandishi wa habari. Lakini neno la Mungu katika Mathayo 6:1-4 linasema:

Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu. Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume; sadaka yako iwe kwa siri; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.”
 
Uko sahihi hawa ni Wanafiki kama wale wengine tu
 
📌

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Kuna mtu alikuwa hata akitoa futari ya mwezi mtukufu lazma kuwe na ma camera( live coverage). Alimsaidia mtu kwenda kutibiwa uti wa mgongo abroad,alipeleka waandishi wa habari na camera zao mpaka kwenye ndege. Nina hakika yule shehe mpenda wali na mialiko ana stress Sana Sasa hv
 
Back
Top Bottom