Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya ubongo. Majibu ya kipimo hiki ni Siri ya mhusika.
Nimejisikia vibaya sana na kumuonea huruma. Seriously anahitaji Maombi Kama mwenyewe alivyoomba Huko IG .....tumuombee majibu yawe negative manake si ishu ya mchezo.
Nimejisikia vibaya sana na kumuonea huruma. Seriously anahitaji Maombi Kama mwenyewe alivyoomba Huko IG .....tumuombee majibu yawe negative manake si ishu ya mchezo.