Flora Lymo (Mbuta Nanga) yuko mahututi hospitalini, Tumuombee afya njema

Flora Lymo (Mbuta Nanga) yuko mahututi hospitalini, Tumuombee afya njema

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya ubongo. Majibu ya kipimo hiki ni Siri ya mhusika.

Nimejisikia vibaya sana na kumuonea huruma. Seriously anahitaji Maombi Kama mwenyewe alivyoomba Huko IG .....tumuombee majibu yawe negative manake si ishu ya mchezo.
 
nsamuombea kwa mungu amponye aendelee kutuonyesha ma.ta.ko yake.
 
Kansa ya ubongo? Kumbe ndo maana akili yake si nzuri...

Ila bado nina shaka na hii habari!
 
Pole sana mbuta nanga. Mungu akatende jambo juu ya afya yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hicho ndio kapost kwenye instagram yake
 

Attachments

  • 1405434721549.jpg
    1405434721549.jpg
    72.9 KB · Views: 1,420
Alikua ana mambo gani naomba nifahamishwe kama ya yule mwengine flora mbasha au
 
Mbuta nanga ndo huyu
 

Attachments

  • 1405437456771.jpg
    1405437456771.jpg
    33.7 KB · Views: 676
Back
Top Bottom