Flora Lymo (Mbuta Nanga) yuko mahututi hospitalini, Tumuombee afya njema

Duuu pole sana Mbuta and get well soon!

Toka mwanzo nilihisi huyu dada hayuko sawa kichwani na nilishapendekeza akamatwe kwa nguvu na kupelekwa hospitali.

Thanx God sasa anakwenda hospitali na atapata msaada na atapona.
Mrembo by Nature asante kwa taarifa kwa kweli huyu dada nahisi hii brain cancer ni wazi haukuanza leo!

Kuna wasanii wengi wanaweza kuwa na ugonjwa Kama huu ni swala la muda tuu!

Get well soon Mbuta!
 
Last edited by a moderator:
Pole Florah, ni matumaini yetu kuwa utakuwa ni ugonjwa wa kawaida hivyo utapa nafuu haraka. Mwenyezi Mungu akupe nguvu, matumaini pamoja na amani hasa katika hiki kipindi unachopita.
 
Duuu pole sana Mbuta and get well soon!

Toka mwanzo nilihisi huyu dada hayuko sawa kichwani na nilishapendekeza akamatwe kwa nguvu na kupelekwa hospitali.

Thanx God sasa anakwenda hospitali na atapata msaada na atapona.
Mrembo by Nature asante kwa taarifa kwa kweli huyu dada nahisi hii brain cancer ni wazi haukuanza leo!

Kuna wasanii wengi wanaweza kuwa na ugonjwa Kama huu ni swala la muda tuu!

Get well soon Mbuta!

Mkuu ni vipimo tu hakusema km ni -ve au +ve imebaki Siri. Alichoomba ni kuombewa tu
 
Last edited by a moderator:
Duuu pole sana Mbuta and get well soon!

Toka mwanzo nilihisi huyu dada hayuko sawa kichwani na nilishapendekeza akamatwe kwa nguvu na kupelekwa hospitali.

Thanx God sasa anakwenda hospitali na atapata msaada na atapona.
Mrembo by Nature asante kwa taarifa kwa kweli huyu dada nahisi hii brain cancer ni wazi haukuanza leo!

Kuna wasanii wengi wanaweza kuwa na ugonjwa Kama huu ni swala la muda tuu!

Get well soon Mbuta!

kwa mantiki hiyo..lady gaga anayo sugu....
 
Duuu pole sana Mbuta and get well soon!

Toka mwanzo nilihisi huyu dada hayuko sawa kichwani na nilishapendekeza akamatwe kwa nguvu na kupelekwa hospitali.

Thanx God sasa anakwenda hospitali na atapata msaada na atapona.
Mrembo by Nature asante kwa taarifa kwa kweli huyu dada nahisi hii brain cancer ni wazi haukuanza leo!

Kuna wasanii wengi wanaweza kuwa na ugonjwa Kama huu ni swala la muda tuu!

Get well soon Mbuta!
Wabongo mahater sana nice mkosi kuzaliwa bongo...yani kila MTU kuponda tu,. Yule bnt kawakosea nn au kwakuwa anaishi london
 
Last edited by a moderator:
Hata mie nlihisi kua hayuko sawa mtu mzima huwezi fanya uchizi wake
 
Wabongo mahater sana nice mkosi kuzaliwa bongo...yani kila MTU kuponda tu,. Yule bnt kawakosea nn au kwakuwa anaishi london

Halaf na hisi Kuna tatizo ya matumizi ya hili neno hater ,yani tuache kusema ukweli unaonekana? Mbona mmekariri mtu akikosolewa ana chukiwa?
Hivi matendo ya huyo dada na maneno yake unayaona ya kawaida?
Hapo kwenye red hilo neno ni lugha gani? na ni nini hicho?

Kwenye blue Hapo sikutegemea kuwa Kuna mwana jf mwenye mawazo Kama hayo,yani unafikiri kabisa mtu anasemwa kwa sababu anaishi London na si matendo yake?Maneno kama hayo hayapaswi kuongelewa na watu wazima! Hivi ni mtanzania pekee anaye ishi london?

Hivi unamfahamu kweli anaye zungumziwa hapa?
 
nimejisikia vibaya sana kwa habari hii mbaya tena inayomhusu the sexiest Tanzanian woman in diaspora...ugua pole mrembo mbutananga
 
Hii sio scenario nzuri hasa kwa dalili alizohisi. Tumuombee kweli Mungu atamuepushia. Kuhusu life yake tumuachie mwenyewe kwani km binadam Anakosea pia. Only God can judge us
 
Pole zake nahisi viatu virefu vilimuangusha huyu
 
Back
Top Bottom