Yaani ni mdada aliyebahatika kwenda UINGEREZA na mbabu wa KIZUNGU ...KUFIKA KULE MZUNGU AKAMUONA MIYEYUSHO
lakini alikwisha mkatia na uraia kabisa .,......sasa kama unavyojua shost maisha ya kule kama huna dili la kueleweka ni majanga....sasa afanye nini ni kupiga picha kwenye maduka ya watu akidai yake na anauza bidhaa mbalimbali....sasa unaweza shangaa ni kwa nini anajadiliwa sana hapa ni ile hatua yake ya kujitoa ufahamu wa eti kupiga mipicha ya mavyupi makubwa kama ya wacheza mieleka huki akiwa ameivaa na akiwa kama alivyozaliwa na kuitundika kwenye blog yake ..sasa kwa mtoto wa kike hasa Mtanzania tukaona tumshauri kitu...sasa si ndo ikaja tena drama eti ana cancer ya UBONGO sasa sijaelewa mara bado majibu....ivi ni dalili gani zilizompelekea Docta aseme huenda ana cancer ya ubongo kama si kutafuta kiki tu hapa.....Ebu atuache tumeshajua nia yake na tunaendelea na yetu kama ushauri hajaupata mana mada nyingi zinazohusu kumshauri tayari zipo hata akufungua blog ni lazima anakutana nayo.......UNA SWALI JINGINE?