Flora Lymo (Mbuta Nanga) yuko mahututi hospitalini, Tumuombee afya njema

Majibu yametoka....
 
Attachments

  • 1405448573153.jpg
    1405448573153.jpg
    73.4 KB · Views: 351
nipo mitaa ya mburahati karibu na makao makuu ya vijana wajasiriamali wa PANYA ROAD nimetoa breaking news kwamba the sexiest woman miss Mbutanganga hana cancer ya ubongo , watu wamelipuka kwa furaha

ni shangwe na watu wanazungusha offer za konyagi, viroba na lagers kwa kwenda mbele

long live celebrity wa kitanzania , miss florah
 
DUNIA ina mambo.....kwanza hizo story za sijuikuumwa cancer sio za kweli aliumwa tu kawaida...kuna kitu anatafuta sio siri!
 
Hiyo mimba hapati kichefuchefu au hali vimaembe mchachuko.........?:A S-eek::A S-eek:
 
Watu wengine ni maarufu hapa jamii forum tu mi hata simjui anajihusisha na nini
 
Yaani ni mdada aliyebahatika kwenda UINGEREZA na mbabu wa KIZUNGU ...KUFIKA KULE MZUNGU AKAMUONA MIYEYUSHO
lakini alikwisha mkatia na uraia kabisa .,......sasa kama unavyojua shost maisha ya kule kama huna dili la kueleweka ni majanga....sasa afanye nini ni kupiga picha kwenye maduka ya watu akidai yake na anauza bidhaa mbalimbali....sasa unaweza shangaa ni kwa nini anajadiliwa sana hapa ni ile hatua yake ya kujitoa ufahamu wa eti kupiga mipicha ya mavyupi makubwa kama ya wacheza mieleka huki akiwa ameivaa na akiwa kama alivyozaliwa na kuitundika kwenye blog yake ..sasa kwa mtoto wa kike hasa Mtanzania tukaona tumshauri kitu...sasa si ndo ikaja tena drama eti ana cancer ya UBONGO sasa sijaelewa mara bado majibu....ivi ni dalili gani zilizompelekea Docta aseme huenda ana cancer ya ubongo kama si kutafuta kiki tu hapa.....Ebu atuache tumeshajua nia yake na tunaendelea na yetu kama ushauri hajaupata mana mada nyingi zinazohusu kumshauri tayari zipo hata akufungua blog ni lazima anakutana nayo.......UNA SWALI JINGINE?
 
Usemalo ni kweli na kurudi tz hawezi mana hata kibanda hana
 
nimejisikia vibaya sana kwa habari hii mbaya tena inayomhusu the sexiest Tanzanian woman in diaspora...ugua pole mrembo mbutananga

Hahahahah....the sexiest Tanzanian woman in diaspora duuuh!
 
Back
Top Bottom