Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

Season 5 episode 24...movie ipo patamu nasubr season 6 album ya flora ikitoka
 
Flora' na mbasha mpigieni mungu magoti mtubu' mana nyie ni viongozi wa kondoo

viongozi wa kondoo kwa sifa zipi?jamani tusimchezee mungu kwa vyeo vya kishetani.halafu kizazi hiki ni rahis sana kushawishika na dini hizi zimeazo kama uyoga.kila penye mavi huota uyoga.
 
sio kweli na haitakua kweli!none of the said and already very much speculated was true!...ni vita ya siasa,ila wanawatumia kina mbasha wana watu ambao sio competent kuikweli!wanaacha alama nyingi za shaka na ni kama wanajisaidia hadharani wakiwa wamefumba macho!

time will tell.
 
Jaribu kuwa mtulivu kidogo usilopoke tu,,Gwajima ana mke wake tayari mama Grace

Sasa kwa mke wa mwenzie alifuata nini? Utetezi mwingine hadi kichefuchefu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom