Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

Kwani akibadili jina ndio kawa msafi au ata zaliwa tena? A badili mpaka ngozi yake ya mwili ukweli utabaki pale pale......
 
Du kaona chopa unafikiri atakubali kurudi tna mbasha

Tokea Aludi ni mwendo wa Mzungu wa Nne tu jamaa nae anachepuka kivyake vyake huku Frola akijiachia kimya kimya pale pale pa mwanzo palipoitikisa ndoa Yao,Frola sasa hata apewe nini na mbasha hawezi Kuwa na penzi la kweli tena !
 
yesu alisema mtu na akitaka kunifuata mimi ajikane yeye mwenyewe alikuwa na maana sana. atamuimbia nani nyimbo za ndoa wakati yeye mwenyewe imemshinda? ataimbaje uvumilivu wakati yeye hana? ataimbaje upendo wakati yeye hana? ataimbaje msamaha wakati yeye hana? je anaweza kukemea usizini? usaliti? loading...............
 
ni kweli kabisa. ebu acheni majungu. hamna hata uhakika. mbasha nae anajikosha anaona alichofanya hakifai anataka mwenzie na achafuke. Lakini Mungu ndo anaejua ukweli

We dada mbona unatetea wazinzi au na wewe ni mzinzi
 
yesu alisema mtu na akitaka kunifuata mimi ajikane yeye mwenyewe alikuwa na maana sana. atamuimbia nani nyimbo za ndoa wakati yeye mwenyewe imemshinda? ataimbaje uvumilivu wakati yeye hana? ataimbaje upendo wakati yeye hana? ataimbaje msamaha wakati yeye hana? je anaweza kukemea usizini? usaliti? loading...............

Kijana una dalili zote za kuwa mtumishi wa Mungu.........namimi kukumbushia mañeno mengine ya Bwana Yesu......Amri kuu nawaachia....mpendane (upendo)
 
Join Date : 1st August 2014

Posts : 26

Rep Power : 306

Likes Received
2

Likes Given
0


sawa yaani una siku tatu toka ujiunge naona wewe una kazi maalumu na tetesi zako hizo
 
Kwani kuna mwanamke asiyependa kusafiri kwa chopa?
 
hivi ndoa yake na gwajima ni lini ?

hakuna kuokoka duniani. wengi huwa wanajifanya wameokoka kufika frusrations fulanifulani maishani.wakifanikiwa kuishinda ile hali ngumu iliyo kuwa inawakabili wanarudi kulekule!! hakuna kitu kibaya kama mtu mwenye kujiona akimiliki pesa.
 
Mbona unaonekana una habari nyingi za maana,lakini umechagua kutuletea huu ufukunyuku toka chumbani kwa watu.Umekuaje?
Hizi ni tetesi ambazo wadau wa sheria wamenikonyeza na mimi kuamua kuziweka hapa,haijulikani atarudisha jina la baba yake au ataweka la mchungaji mmoja maarufu, inasemekana jina hilo litaonekana katika albamu yake ambayo imejaa vijembe na kumtukuza mwandani wake mpya
 
I personal hate flora/uchu wa fahari z a kidunia zivunje maagano ya kimungu!
 
Yaani mimi sina hamu na huyo dada yaani kituko alichofanya ni aibu tupu. Shame on you flora mbasha.

Mume wako kakwambia urudi mjenge familia umegoma umekataa kusuluishwa unachotafuta ni fimbo tu utakuja upigwe fimbo maana utatesa watoto na mume wako wa ndoa.
 
wewe ni mbeya kwelikweli habari zenu za kutakatujaze server tumechoka weka chanzo cha habari na iwe ya uhakika acha umbea kuchota akili za uma aisee tupia chanzo apo kieleweke

inaonekana wewe ni bingwa wa kusuta mtaani kwenu,umeninyooshea kidole,umenishikia kiuno na kunitolea macho kuniita mbea,unataka nikuwekee picha ya albam mpya na jina au,jiheshimu
 
join date : 1st august 2014

posts : 26

rep power : 306

likes received
2

likes given
0


sawa yaani una siku tatu toka ujiunge naona wewe una kazi maalumu na tetesi zako hizo

why spy my particulars
 
Back
Top Bottom