Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du kaona chopa unafikiri atakubali kurudi tna mbasha
ni kweli kabisa. ebu acheni majungu. hamna hata uhakika. mbasha nae anajikosha anaona alichofanya hakifai anataka mwenzie na achafuke. Lakini Mungu ndo anaejua ukweli
yesu alisema mtu na akitaka kunifuata mimi ajikane yeye mwenyewe alikuwa na maana sana. atamuimbia nani nyimbo za ndoa wakati yeye mwenyewe imemshinda? ataimbaje uvumilivu wakati yeye hana? ataimbaje upendo wakati yeye hana? ataimbaje msamaha wakati yeye hana? je anaweza kukemea usizini? usaliti? loading...............
hivi ndoa yake na gwajima ni lini ?
Hizi ni tetesi ambazo wadau wa sheria wamenikonyeza na mimi kuamua kuziweka hapa,haijulikani atarudisha jina la baba yake au ataweka la mchungaji mmoja maarufu, inasemekana jina hilo litaonekana katika albamu yake ambayo imejaa vijembe na kumtukuza mwandani wake mpya
hivi ndoa yake na gwajima ni lini ?
Jaribu kuwa mtulivu kidogo usilopoke tu,,Gwajima ana mke wake tayari mama Grace
wewe ni mbeya kwelikweli habari zenu za kutakatujaze server tumechoka weka chanzo cha habari na iwe ya uhakika acha umbea kuchota akili za uma aisee tupia chanzo apo kieleweke