Flora Mbasha afunguka, ni hatari sana

Exactly sijaona lipi linamshinda kusema lenye aibu ikiwa keshafika kusema kama mume alitaka tigo. Ili kuondoa doubt angeziweka hizo msg watu wakaona. Hii ni cooked up story.
 
Ha ha ha aisee! Utoto ulioje huu! Huyu mama time si nyingi atasema alikuwa anapigwa round ngapi na anapigwaje ha ha ha.
 
Baadhi ya wanaume ambao wake zao wamewazidi kipato huwa ni wakorofi na wakatili wakidhani hilo ndilo litampa heshima ndani ya nyumba .Pole dada kama ni kweli haya uliyoandika ila muombe msamaha mungu kwa yale uliyomkosea na simama kidete uwalee wanao wasijeishi kama yatima ilhal wazazi mpo.
 
Madhali bado mungu anatupatia pumzi tutasikia na kuona mengi.
 

Ni sheeeeeeeder namuelewa Florah! Ukizidi kipato tu ooooh mwanaume anachachamaa kama wale karunguyeye wadudu wa miiba miiba kule Moshi!
 
Hii mbona ni ya zamani kabla hajajifungua. Ilianza kusambazwa kipindi kile cha kesi ya Mbasha

Kumbe Frola ana mtoto mwingine aiseee mi sijui niko Tanzania ipi??........BTW Mungu ndiyo anajua mkweli nani....
 
Pole sana frola, wanawake wanakumbwa na unyanyasaji wa kila aina, wanajitahidi kuficha siri ili kulinda heshima tu. songa mbele day haki yako kwani huyo sio mume sahihi kwako,
 
Hili Jike ongo ! ina maana siye mapanga hatuyajui?upigwe mapanga utakuja kurusha mdomo huku au jamhuri ndio itakusemea kwa niaba yako?Eti pesa zake anachukua mumewe!nani kamkabidhi?Eti kuna mambo hawezi yasema kwa kigezo cha maadili ,chini ya "utunzi"wake kabandika kuwa anadaiwa "tigo" na aliyekuwa mumewe kuna maneno machafu zaidi ya hayo kwa wanandoa?Na mwanamke apate kipigo watu wasisikie ?labda jumba lao liwe kama ikulu ya marekani-kubwa na hakuna kusogelea asiyehusika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…