huyu mama muongo,anatunga story nyiingi ili aonekane kaonewa,though sikatai kwamba kuna matatizo ya hapa na pale kwenye ndoa.
hivi siku zote hizo alishindwa kwenda hata ukweni kwa akina mbasha akalalamike,au kwa mawifi,mashangazi,mashemeji ?,yaani MTU unafanyiwa unyama miaka yote hiyo umetulia tu na kesho mnapanda kwenye stage mnaimba wote.!
what about ile issue ya mbasha kumbaka mdogo wake yeye flora,it means it was cooked story ili apate njia ya kuondoka kwa mbasha?
tutamuamini vipi kwamba alikuwa hachepuki nje na wachungaji ndio maana jamaa alikuwa akimdunda?
Leo anasema jamaa alikuwa anataka Tigo,alishindwa nini kuondoka mapema Kama that's the issue iliyo muondoa na mengine.
cha ajabu eti Hana account nyingine alafu eti hata Mia tank ya vocha alikuwa akimuomba mbasha..yeye aseme hivi walikuwa wanamiliki account pamoja na kuna mmoja wao alikuwa na power of attorney .
hivi kweli flora alishindwa kufungua hata m powa,au bank ya post .kias kwamba pesa zake zoote azimiliki mbasha,kwa dunia ya Leo kweli kitu Kama hicho chawezeka jamani.