Flora Mbasha afunguka, ni hatari sana

Na gwajima ninani kwako?,Na hako kamjomba kanani?
 
Hii ndoa haikuwa na matatizo kiasi hiki,huyu mama muongo amepitiwa tu na pepo la ajabu,amesubiri kajifungua ndio kaanza kusema haya ili kutoa aibu,kwanin na mbasha nae asizae katoto?,Muogopeni Mungu wenu nyie,Mungu sio binamu yenuuu ohooooo!!!
 

wewe ndio mbasha mwenyewe? unavyomtetea mpaka povu linakutoka.
 
Mbona hajasema ka alikubali kuliwa tigo,si uliombwa bibie????,unazidi kuchefua watu kwa kumpakazia mmeo maneno uonekane malaika...mtoto wa nani kwanza?
 
Ule mkutano wenu wa Beijing mbona hamjawahi kurudia tena? Mi nikikuoa maaanina lazima utii sheria zangu, ukileta ujuaji nakudunda tu!

Kama una akili sawa nitatii! Kama ni poyoyo nitakuacha upigane na ukuta! Period!
 
Hajatunga yule Mbasha ni marioooo

Hawa marioooo wana taabu sana, halafu wao ndio waanzilishi wa mambo ya dhuluma ili wawe huru. Hii ndoa kuna sehemu ilikuwa na mushkeli. Mbasha anafanya kazi gani? .elimu ?. Nduguze ni akina nani + marafiki. Kama VP amuige Ezden maisha yaendelee. Pesa inatafutwa nyumba achia watoto.
 
Sidhani kama katunga namjua fro alimpenda sana yule bwana shaulienu mnaotaka mahb ngojenu muombwe mferejini huhuhu
 

Ukisoma btn the line utagundua anamaanisha jamaa ni gay siku nyingi so alimtunzia heshima
 
Mwanamke akipenda anapenda kweli ila akichoka inakua basiiiii. uliipigania ndoa yako kweli ukidhani unalinda heshma lakini naona imefika mwisho
Hongera sana na pole nyingi #florambasha kwa uvumilivu....ila nakupa hongera zaidi kwa kuchukua maamuzi sahihi japo umechelewa kidogo
Kama ulichepuka kweli ukweli wote unaujua wewe na mungu wako nisiwe mwepesi kukuhukumu
 
Naamini flora alichokisema pole flora, ila hii Tania ya wanawake kupenda kufia ndoa ili wasifiwe ni wavumilivu naona kama nikupungukiwa na maarifa, ila hongera sana kwakufanya maamuzi magumu na yenye ushujaa Mungu akusaidie hatimae uje uinuke tena mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…