Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mama muongo,anatunga story nyiingi ili aonekane kaonewa,though sikatai kwamba kuna matatizo ya hapa na pale kwenye ndoa.
hivi siku zote hizo alishindwa kwenda hata ukweni kwa akina mbasha akalalamike,au kwa mawifi,mashangazi,mashemeji ?,yaani MTU unafanyiwa unyama miaka yote hiyo umetulia tu na kesho mnapanda kwenye stage mnaimba wote.!
what about ile issue ya mbasha kumbaka mdogo wake yeye flora,it means it was cooked story ili apate njia ya kuondoka kwa mbasha?
tutamuamini vipi kwamba alikuwa hachepuki nje na wachungaji ndio maana jamaa alikuwa akimdunda?
Leo anasema jamaa alikuwa anataka Tigo,alishindwa nini kuondoka mapema Kama that's the issue iliyo muondoa na mengine.
cha ajabu eti Hana account nyingine alafu eti hata Mia tank ya vocha alikuwa akimuomba mbasha..yeye aseme hivi walikuwa wanamiliki account pamoja na kuna mmoja wao alikuwa na power of attorney .
hivi kweli flora alishindwa kufungua hata m powa,au bank ya post .kias kwamba pesa zake zoote azimiliki mbasha,kwa dunia ya Leo kweli kitu Kama hicho chawezeka jamani.
Ule mkutano wenu wa Beijing mbona hamjawahi kurudia tena? Mi nikikuoa maaanina lazima utii sheria zangu, ukileta ujuaji nakudunda tu!
Mpwa hio kitu tamu usiombe, balaa kaka!
Sawa usilie mkuu nime kuelewa.Sawa ni uongo lakini tunaomba msikoti taarifa yote mnatupa usumbufu jamani
Hajatunga yule Mbasha ni marioooo
hii taarifa ni ya kutunga....huwezi kuamini taarifa kama hii....kuna mahali anasema kuna mambo ya ndani siwezi kuyasema hapa kwa sababu ninamuheshimu na pia ni mzazi mwenzagu.....kisha anasema huyu mwanaume alikuwa anataka na kunilazimisha nifanye nae mapenzi kinyume na maumbile....
Hii couple nilivyokuwa naipenda na kuiamini........... nguvu zimeniishia!
Ukisoma btn the line utagundua anamaanisha jamaa ni gay siku nyingi so alimtunzia heshima