Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Mkuu ugomvi wao ulikuja public mwezi mei mwaka na wakat huo flora hajagongana na mume wake miez miwili. Kwa hyo mbasha aliona ndani mara ya mwisho mwezi march mwaka Jana. Sasa toka cku hyo mpk Leo ni miez mingapi

Hapo ni logic tupu umetumia!
 
because iam not belonging to neither gwajima nor mbasha family, my recognition at first glance cannot work well. In order it to work well you must be familiar or experience with the situation or object or area. In recognition at first glance there something known as "compare and contrast" in regard with this matter, i cannot do compare and contrast, because i lack something, but i if i could be belonging to one of the family i could say something after recognition at first glance

daaaaaaahhh
 
DNA inahusika....lakini si wako kwenye ndoa...hakuna mtoto haramu kwenye ndoa..Mr M komaaa
 
Hatimaye mtumishi wa Mungu Flora Mbasha amejifungua salama leo hii. Haleluja.......
Bado wako wodini habari zaidi stay tunned.
 
Mtoto niwa mbasha, hakuna cha gwajima hapo, angalia paji la uso, tena huenda hiyo mimba ndio iliyoleta kutoelewana, ila naamini flora atarudi kwa mumewe.
 
Anayejua baba wa mtoto ni mama peke yake. Wako kafananishwa na nani?
 
Because Iam not belonging to neither Gwajima nor Mbasha family, my Recognition at first glance cannot work well. In order it to work well you must be familiar or experience with the situation or object or area. In Recognition at first glance there something known as "Compare and Contrast" In regard with this matter, I cannot do compare and contrast, because I lack something, but I if I could be belonging to one of the family I could say something after Recognition at first glance

I thought was just a matter of "Remote sensing" as you mentioned before that if someone has this knowledge then he/she should be able to Recognize at first glance, but now is more than a knowledge. Thanks MKUU for sharing this idea.
 
Hatimaye mtumishi wa Mungu Flora Mbasha amejifungua salama leo hii. Haleluja.......
Bado wako wodini habari zaidi stay tunned.


Yuko Hospitali gani?maana isije ikawa amejifungua siku zilizopita lakini kwasababu tu jana ndio picha zimeonekana zaidi ikaeleweka kuwa tukio ni la jana.
 
Mkuu ugomvi wao ulikuja public mwezi mei mwaka na wakat huo flora hajagongana na mume wake miez miwili. Kwa hyo mbasha aliona ndani mara ya mwisho mwezi march mwaka Jana. Sasa toka cku hyo mpk Leo ni miez mingapi

Lkn inaonesha mbasha bado anapigania kisichokuwepo..! Alijisahau.........
 
lin sijaelewa hapa vipi dadavua basi kama hutaweza kakavua tafadhali
 
Last edited by a moderator:
lin sijaelewa hapa vipi dadavua basi kama hutaweza kakavua tafadhali

Mwenzangu naona teknolojia inanishinda kutumia naona picha imegoma kuatachika,Flora kajifngua mtoto anafanana na naniliiiiii kabisakabisa
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahhaaaa nimeiona ile picha aiseee full mtumishi, ndio tatizo la watoto wa nje ya ndo. Niko nazo pia kuna mahali nimezipata. Dah inauma sana aiseee
 
Hongera sana Froha ndo matunda ya wachungaji kula kondoo za bwana
 

Attachments

  • 1423058170862.jpg
    1423058170862.jpg
    122.2 KB · Views: 557
  • 1423058188971.jpg
    1423058188971.jpg
    53.2 KB · Views: 556
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom