Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Kijana kapata kibibi "age ain't a number", sijui nimepatia lakini anyway
 
Duuu mbona lugha ngumu ivo unatumia
Tutumie lugha gani sasa?kama watu wanajuana kabla ya ndoa na kukaa chumbani peke yao wawili tu,huko ni kutombana mkuu.watz mmezoea kubembelezwa,ndio hivo,itakua ndio walikua wamemaliza kutombana yaani kuzinzika kabla ya ndoa yenyewe.
 
Kwa hiyo kama hajafa inabidi asubiri tu mumewe apige game za nje mpaka lini??
.

Asubiri mpaka Afe??..wakati anapiga game za nje kama kawa huko alipo?
sasa utafanyaje Ikiwa ndio maandiko yamekataza asioe wala kuolewa mpaka mmoja wao afe
 
Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
yes na mimi nasubiri jibu
 
....Hapana she looks great na hizo nyama nyama, purely African...Hii vimbaumbau style tuwaachie watasha...
Mkuu kabla ya kuvaa gauni leupe tunafunga kwanza kuomba Mungu aepushe shari yeyote na hii inasaidia pia kuchoma mafuta ingawa lengo ni maombi
 
Tutumie lugha gani sasa?kama watu wanajuana kabla ya ndoa na kukaa chumbani peke yao wawili tu,huko ni kutombana mkuu.watz mmezoea kubembelezwa,ndio hivo,itakua ndio walikua wamemaliza kutombana yaani kuzinzika kabla ya ndoa yenyewe.
Nina uhakika wao sio wa kwanza kufanya hivo kwaiyo tusiwaukumu
 
Back
Top Bottom