Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Niliona hiyo album mpya kama yupo na huyu dogo itakuwa anapenda waimba kwayamaskin mweer!!!
[emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona hiyo album mpya kama yupo na huyu dogo itakuwa anapenda waimba kwayamaskin mweer!!!
[emoji124]
Mkweche kama lorry la bwana yuleSasa mbona wameshaoana tayari? Hapo wakon hotelin au honey moon imeanza kabla ndoa kufungwa
Ulokole Mpya huoSasa mbona wameshaoana tayari? Hapo wakon hotelin au honey moon imeanza kabla ndoa kufungwa
Siku hizi wanapeana talaka....wameandika biblia Mpya I thinkWolokole wanaoana kama nguruwe
Niliona hiyo album mpya kama yupo na huyu dogo itakuwa anapenda waimba kwaya
Sio kila mtu anaamini na kutumia biblia katika maisha yake, amri ya ndoa ya mke na mume mmoja hadi kifo na kanuni zake zipatazo 101 zinashikwa na kuzingatiwa na wakristo, ndio maana unaona wanamshangaa mwenzao flora na mwenzie wa kwanza, wote wawili wameshindwa kushika viapo vyao na wamelivunja agano lao na sasa kila mmoja anahangaika utumwani, hayo si maisha ya ndoa ya kikristo, ni uhayawani, kwao shetani kashinda na anashangilia huko aliko [HASHTAG]#tulinde[/HASHTAG] ndoa zetu [HASHTAG]#nimeoa[/HASHTAG] nampenda mkewangu.Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
Mikakat inapangwa hotelin chumban? And I know that hotel maana nimekaa hapo Mara kibao.Apo wapo kwenye kupanga mikakati
hahahaNiliona hiyo album mpya kama yupo na huyu dogo itakuwa anapenda waimba kwaya
Hiyo mashine ishatumika, sasa kitandani ataogopa nini?Huu ndio upumbavue nisioutaka mimi. Hamjaoana kitandani mnafanya nini? Inamaana hakuna sehemu nyingine ya kuongelea zaidi ya huko chumbani tena kitandani? Huu ni upumbavue sasa.
Wapo kimaslahi zaidiSiku hizi wanapeana talaka....wameandika biblia Mpya I think
Kwa mwanaume mkuu ni sawa kabisa yaani inatakiwa umzidi mama hapo baadae itakua levo.Jamaa kuwa mdogo ni tatizo?
Mbona Mengi amemuoa K.lyn hakuna aliestuka