Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyi dogo naye ana tabu kweli

kwa hiyo naye alipewa kadi!?
Sasa ndocjajua. Maana anasema hamini kama kweli anafunga ndoa.
 
Hakuna ndoa ya hivyo hayo matakataka tupu Hapo sijui mfunga ndoa huyo mchngaji gani tayr wamefunga tayr sasa wanatuletea mapozi Hapo mbona wako hanimun ndio ndoa za kristo haziko hivyo,
 
Kuhukumu ni kazi ya Mungu mwenyewe mkuu hutakiwi kiwanenea mabaya wenzio
Siwanenei mabaya ila hili jambo liko wazi..Mbasha angekuwa amekufa sawam..au wafanye mambo yao wao kama wao wasijikinge kwa mwamvuli wa ulokole au dini..wanajeruhi roho za watu wengi sana...
Dini imekuwa sehemu ya watu kufunikia uchafu wao..
 
Nasikia kanunua hadi na kiatu cha kesho kwenda kushuhudia. Lakini mi nahisi anaenda kusubilia pale mchungaji anapouliza kuna kipingamizi cha kuzuwiya ndoa isufungwe.
Hili jamaa nalo lina roho ngumu ka paka
 
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680
Huyu jamaa amzalishe watoto 7 asilete kisingizio kuwa anao wengine si ametaka kuolewa lazima azae hao sio wako bro mkatalie kabisa ila bro utakuwa na kazi ya kusomesha mana ulio wakuta kabla hujapata wakwako na waanze kusoma utakuwa na miaka si chini ya 5 unasomesha watoto wa mwenzio shule za english medium sio kayumba na usubiri u aweza ukaambiwa upelekw boarding dah pole kazi unayo ila ndo hivyo ulipenda huna ujanja
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we jamaa umeua
 
Frola anapenda wanaume flan hiv yaan huyo jamaa hana tofaut na mbasha , ila yote kheri kipendacho roho
 
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680
ahahahahahaaaaa we jamaa Flora anatualikaje kwenye ndoa yake! kwenye ndoa c yeye tu na huyo jamaa ake, au unamaanisha kwenye sherehe ya harusi ya ndoa yake
 
Back
Top Bottom