Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

huyu dogo kapotea njia kabisa anaoa mkweche wakati yeye namwona bado hajawahi kuwa kwenye ndoa. Kuna siku atatamani kitu fresh aone kikoje kwani anaanza ndoa na mama aliyekwisha kaa ndani ya ndoa muda mrefu. hii nayp haita survive
Mbona mzee Machache alivyofunga ndoa na K. Lyn watu waliona sawa tu hawakuona wanafanya makosa
 
Dogo kachukua makongoro/milopoo.

Wiki moja tu anakumbana na majibu "tulale bwana mimi sijisikii"

Mashine imetumika kitonga, sekenke, lukumbulu yaani we acha tu! Imechoka yamebaki mapambio.
 
Nasikia kanunua hadi na kiatu cha kesho kwenda kushuhudia. Lakini mi nahisi anaenda kusubilia pale mchungaji anapouliza kuna kipingamizi cha kuzuwiya ndoa isufungwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyi dogo naye ana tabu kweli

kwa hiyo naye alipewa kadi!?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
Waafrika hatuachani saana kwenye ndoa sababu maisha magumu watu wafikiria namna ya kuanza maisha upya. Mfano kujenga nyumba. Na nk
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Analiaibisha Jina la YESU,ameubili vizuri jina la Yesu kwa injili leo ni mzizi kwani maandiko yanasema haruhusiwi kuolewa hadi aliyefunganaye ndoa ya kwanza afe.Huo anaofanya sasa ni uzinzi
Wolokole wanaoana kama nguruwe
 
Back
Top Bottom