Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hapo baada ya zoezi la picha, ni kupunguza kipururu tuu..Hapo kwenye picha ni baada ya kugegedana au kabla?
Maana kwa ufuska huyu mama hatumuwezi.
Team mapovu njooni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo baada ya zoezi la picha, ni kupunguza kipururu tuu..Hapo kwenye picha ni baada ya kugegedana au kabla?
Maana kwa ufuska huyu mama hatumuwezi.
Team mapovu njooni.
Sasa ndocjajua. Maana anasema hamini kama kweli anafunga ndoa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyi dogo naye ana tabu kweli
kwa hiyo naye alipewa kadi!?
Siwanenei mabaya ila hili jambo liko wazi..Mbasha angekuwa amekufa sawam..au wafanye mambo yao wao kama wao wasijikinge kwa mwamvuli wa ulokole au dini..wanajeruhi roho za watu wengi sana...Kuhukumu ni kazi ya Mungu mwenyewe mkuu hutakiwi kiwanenea mabaya wenzio
Hili jamaa nalo lina roho ngumu ka pakaNasikia kanunua hadi na kiatu cha kesho kwenda kushuhudia. Lakini mi nahisi anaenda kusubilia pale mchungaji anapouliza kuna kipingamizi cha kuzuwiya ndoa isufungwe.
Huyu jamaa amzalishe watoto 7 asilete kisingizio kuwa anao wengine si ametaka kuolewa lazima azae hao sio wako bro mkatalie kabisa ila bro utakuwa na kazi ya kusomesha mana ulio wakuta kabla hujapata wakwako na waanze kusoma utakuwa na miaka si chini ya 5 unasomesha watoto wa mwenzio shule za english medium sio kayumba na usubiri u aweza ukaambiwa upelekw boarding dah pole kazi unayo ila ndo hivyo ulipenda huna ujanjaKesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680
Tembo hakondi siku ya kuwimdwa.Sasa atajikondashaje wakati harusi ni kesho?
Ndiyo fashion ya mjini mkuu. Kijana amejilipua.Halafu mbona kama vile Flora anaonekana ni Robert Mugabe ( Mzee / Mkubwa ) kwa Daudi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we jamaa umeuaHuyu jamaa amzalishe watoto 7 asilete kisingizio kuwa anao wengine si ametaka kuolewa lazima azae hao sio wako bro mkatalie kabisa ila bro utakuwa na kazi ya kusomesha mana ulio wakuta kabla hujapata wakwako na waanze kusoma utakuwa na miaka si chini ya 5 unasomesha watoto wa mwenzio shule za english medium sio kayumba na usubiri u aweza ukaambiwa upelekw boarding dah pole kazi unayo ila ndo hivyo ulipenda huna ujanja
MmhhAsikwambie mtu milf ni watumu acha tu
Unaonesha unaponikaga sana weww.Asikwambie mtu milf ni watumu acha tu
ahahahahahaaaaa we jamaa Flora anatualikaje kwenye ndoa yake! kwenye ndoa c yeye tu na huyo jamaa ake, au unamaanisha kwenye sherehe ya harusi ya ndoa yakeKesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680