Sijaona hata akitoa andiko takatifu kuwashauri watu wa kwenye ndoa kutoka hapa zaidi ya kuwashauri wanawake wenzake waptapo misukosuko wasonge mbele na kukimbia familia.
Si dhani kama kweli ni andiko la Flora Mbasha
Flora Mbasha hawezi kumshauri mwanamke chochote zaidi ya kumwambia amkimbie mume, iko kwenye damu yake, hat mamake kamkimbia baba yake....amerithi
Kuna ni kawaida ya hii Familia? Mbona siamini? Thibitisha Tafadhali
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.
Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
Kuna ni kawaida ya hii Familia? Mbona siamini? Thibitisha Tafadhali
acha wivu wewe, nahisi we ni flora kijana hendisamu huyu alikujaga uwanja wa ccm kurumba nilimtolea mijicho balaa
umetisha ........haaaa...ulimtolea mijicho
I wish huyo mbasha ningejimilikisha mie
hahahaKama sijakosea ww ni muumini wa mzee wa misukule
Magazeti ya kina ya kile chama yamekosa mvuto mpaka yameingia kwenye story za Udaku sio?Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.