Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

Sijaona hata akitoa andiko takatifu kuwashauri watu wa kwenye ndoa kutoka hapa zaidi ya kuwashauri wanawake wenzake waptapo misukosuko wasonge mbele na kukimbia familia.
Si dhani kama kweli ni andiko la Flora Mbasha

Flora Mbasha hawezi kumshauri mwanamke chochote zaidi ya kumwambia amkimbie mume, iko kwenye damu yake, hat mamake kamkimbia baba yake....amerithi
 
Kuna ni kawaida ya hii Familia? Mbona siamini? Thibitisha Tafadhali
 
unataka uthibitisho wa namna gani? Nenda Mwanza bugando ukaulize watu wa kanisa lile....sisi wengine tulijua Rev Kulola akifa hiyo ndoa itakufa.
 
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!

Good for Emma....hata hivyo ana moyo....living and sleeping with a cunt
 
Uko sahihi kabisa. Lazima kuna mwanzo mbaya wa hii ndoa yao ndio maana ibilisi amewavuruga. Ndoa nyingi zinazoishia njiani siku hizi tazama mwanzo wake lazima kulikuwa na shida.
 
I wish huyo mbasha ningejimilikisha mie
 
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
Magazeti ya kina ya kile chama yamekosa mvuto mpaka yameingia kwenye story za Udaku sio?
 
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!

Baada ya kuonja ya Gwajima…koh koh kohh…
 
Flora ni kichomi. Leo kasema hivyo kesho atasema Gwajima hakuwa chaguo lake hapo atakuwa na COPD hatimaye copd hafai. So Flora hana fsida wala mwelekeo lastly very pumbaffffff. Period
 
Back
Top Bottom