Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

Unafkiri tatizo ni kuoa mama???tatizo Folora ndio kashikilia uchumi wote wa familia.kigupi bwana Emma ni tegemezi tu a.k.a marioo zats wai hana kauli pale hata hivyo na Folora nae kamvumilia sana huyu Emma maana ni mtembeza dyudyu balaaaa kimanga karibia yote kawalamba mabinti washobokaji
basi jamaa naye hajatulia,kuwa mario bila hela ni kuumbuka
 
Watu wengine bwana...hivi Flora kinachomzuzua ni nini? Sura mbovu shepu hovyo..... Ningekuwa ndo mimi na sura yangu mbovu hii nipate mwanaume kama Emmanuel yan ningekuwa mpole kama nanyolewa

Pesa ilimsaliti hata bwana yesu
 
Mzee Kulola aliipinga sana hiyo ndoa!! Alisema Flora bado mdogo, na huyo kijana hajatulia... Wapambe kama kawaida wakaleta maneno eti wanamnyima sababu dreva taxi maskini!! Kumbe mzee alioba mbali

Yawezekana wewe unajua zaidi ya wengi tujuavyo.Amani kwao
 
Ndiyo sababu tunasema mwanaume tafuta hela zako, mambo ya kulelewa na mwanamke ni uhanisi!
Unakosa maamuzi, unadhalilika!
Sasa alijiona handsome na vibinti vilikua vinamshobokea vile anatunzwa na Flora, aende sasa kwa michepuko huku mifuko imetoboka aone kama hajatemewa mate!
Flora delete kabisa takataka hiyo ijifunze in a hardway! Mwanaume gani wa kum embarrass mkewe kwenye vyombo vya habari!
Nadhani sasa unaelewa maneno ya babu yako! Hata wewe hili limekuwa funzo kubwa kwako!
Uzuri wa mwamaume si sura ni TABIA!
 
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!

Na hata yeye Flora Mbasha hakua chaguo la Emmanuel Mbasha baada ya kusalitiwaa kwenye ndoa!!
 
KAULI YA FLORÀ MBÀSHA KUFUATIA KUDAI TÀLAKA RASMI:

Nimefikia uamwuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka8 na hata sasa bado anaendeleaje, Kwani hata kuongea uongo kwenye media juu yangu ni ukatili pia.. nimekuwa nikinyanyaswa kijinsia na mume wangu na sikuwahi kutoa taarifa mahala popote kutokana na vitisho alivyokuwa akinitisha. Watu Wengi wanafikiri nilikuwa na ndoa nzuri sana lakini kumbe nilikuwa Nikivumilia tu Kwani niliamini IPO siku atabadilika maana nilimpenda sana mume wangu.. Nilijaribu kuficha huzuni na maumivu yangu kila nilipotoka na mume wangu kwenda kwenye Huduma au mahala pengine penye mkusanyiko wa watu. Sijawahi hata Mara moja kutoa taarifa hata kwa wazazi wangu juu ukatili niliokuwa nafanyiwa na mume wangu.. Kwanza sikutaka kumvunjia heshima kwa ndugu zangu na pia alikuwa akinitishia kuniua na kuongeza kunifanyia ukatili huo.. Kutokana na historia yake ya nyuma alikuwa na uwezo wa kunifanya chochote na ndiyo maana nilikuwa nikimwogopa sana.. Siku zote nilikuwa akilala na panga kitandani ambalo ndilo alikuwa akinipiga nalo na kuapa kunichana chana Mwili Kabla ya kuniua.. Kipigo hicho nimekuwa nikikipata hata ninapokuwa kwenye Huduma bila kujali natakiwa kuwa kwenye mood nzuri ili ni perfome vizuri. Nimevumilia muda mrefu lakini ndo mateso yakawa yanazidi na kufikia hatua ya kufukuzwa akidai yeye ana mwanamke mwingine wa dini yake ya zamani Hivyo anataka amlete hapo nyumbani.. Nilikataa kuondoka na kumwambia amlete tu, tutaishi wote mimi nitakuwa nikilala chini maana nshazoea siku zote Amekuwa akinilaza chini . alivyoona siku zinazidi kwenda na mimi nimegoma kuondoka basi akaamwua sasa isiwe siri ya chumbani tena Akawa ananitoa ananipigia sebuleni na anasema nataka mtoto na wengine wote wajue kuwa huwa nakupiga humu ndani.. Ikafika hatua anataka kunitoa nje ya geti ili majirani wajue kuwa huwa napigwa na anifukuze mbele yao..
Kwa Miaka yote alinizuia kufungua account bank na kudai kuwa yeye ndo Mwanaume Hivyo pesa zote ataweka yeye. So pesa zangu zote nilizokuwa naingiza alikuwa akichukuwa yeye na kuzihifadhi kwa account yake binafsi.. Sikuwa nikibaki hata na mia.. Nilijaribu kufanya biashara lakini napo pesa zote Akawa akichukuwa yeye ikabidi niache.. Nikitaka hata vocha ya mia tano Lazima nimwombe hela na niitolee Maelezo ninampigia nani. Mume wangu kwa kipindi chote hakuwahi kuwa na kazi yoyote zaidi ya kunifanya mimi ndo biashara yake. Lengo lake ilikuwa ni kunitumia mimi kwa maslahi yake na sio upendo kama mke wake. Hakuwahi kunipenda hata yeye mwenyewe hukiri kuwa alinioa tu basi ili afanikiwe kwenda ulaya kwa kuwa mimi nilikuwa nikisafiri na babu yangu.. Na yeye kila akijaribu kwenda nje anashindwa. Kuna mambo mengi ya ukatili aliyokuwa akiyafanya ndani siwezi kuyasema kwa ajili ya maadili na pia bado Ninamheshimu kama mzazi mwenzangu. Alipoona siondoki pamoja na vipigo, matusi na kunifukuza kote.. Akasema nitahakikisha nakufanyia jambo ambalo utaondoka mwenyewe humu ndani bila kupenda.... Sitaki kuzungumzia swala ambalo liko mahakani ingawa hilo nahic ndilo alilokuwa kadhamiria ili tu niondoke. Nilijaribu sana kumsihi tukae kikao na wazee ili watushauri na kutusaidia lakini nilikuwa nikiambulia matusi tu ya nguoni ambayo siwezi kuyaandika hapa.. Siku niliyoondoka nyumbani alidhamiria kuniua alidai hata akiniuà hakuna atakaye amini kuwa ni yeye kaniua, na ni kweli maana sikuwahi kushtaki mahala popote. Alichukuwa panga akanipiga nalo kisha akaniniga Hadi nikaishiwa nguvu . Aliponiachia sielewi nilitokaje ndani. Ugomvi mkubwa ulitokana na mimi kukata kufanya tenda la ndoa kinyume na maumbile. Amekuwa Alinipiga na kunilazimisha kufanya tenda hilo kinyume na maumbike kwa Miaka msingi lakini nikisema bora nife kuliko kutendewa ukatili huo.Amekuwa akidai kuwa wanawake tumeumbwa ili tufanyiwe tenda hilo la ndoa mbele na nyuma so ni haki yake..

Niliondoka kwake nikiwa na sh elfu mbili tu. Nilimwachia kila kitu nyumba gari na pesa zote zikiwa kwa account yake zaidi ya milioni 50.

Sikuwa na uwezo wa kutoa pesa maana ni account yake binafsi.. Nimejitahidi sana kumwita kwenye vikao hata vya familia ili tu tujaribu kuzungum za lakini Amekuwa akionyesha dharau tu na kusema yeye haitaji ndoa tena anaoa mke mwingine Hivyo Hawezi kusuluhishwa. Ingawa Amekuwa akidanganya sana kwenye media. Nilimwuliza Unapata faida gani unapodanganya watu kuhusu mimi.. Akasema yeye amechafuka kwa ubakaji so acha na mimi nichafuke na akasema atahakikisha sifanyi Huduma sehemu yoyote labda nihame nchi. Kama msg hizo angekuwa amezituma bila kuandika na matusi ningezikopi but zaidi kauli zake ni za matusi. Hivyo imefika mahali nimeona bora tuachane kisheria na pia nipate haki yangu maana mume wangu anajivunia Mali ambazo hakuzitolea jacho yeye na huku anawatapeli watu kwa kudai kuwa hana pesa maana mimi nimeondoka nazo wakati ni uongo mtupu. Mimi ninapanda daladala siku hizi sababu sina uwezo wa kuwa na gari Hadi niazime kwa marafiki zangu. Mume wangu amekataa hata kumsomesha mtoto sasa hivi nahangaika kutafuta ada ili mtoto arudi shule lakini pesa yote anayo anayo mbasha. sasa sijui hapo ananikomesha mimi au mwanaye.!maana urithi wa mtoto ni elimu bora na mzazi anayempenda mwanaye atapambana ili kuhakikisha mtoto anapata elimu bora.

Nilikaa kimya muda mrefu sikutaka kuzungumza lakini imefika mahali Nimechoka maana huyu bwana hajiheshimu. Tukikutana anasema sio yeye anayepeleka habari mitandaoni..
Ninaomba wanaume wenyewe Mfano wake waache kuwafanyia ukatili wake zao majumbani .. Najua wako Wengi sana wanao nyanyasika kama ilivyo kuwa kwangu lakini Hawana sehemu za kukimbilia Hivyo wanavumilia tu na mwisho wa siku wanakufa na kuacha watoto wakiteseka. Mimi Nilivumilia zaidi ya Miaka 8 lakini imefika mahali enough is enough. Maandiko matakatifu yanasema, ndoa haivunjwi isipokuwa kwa uasherati. Acha nife kwa mapenzi ya mungu na sio kwa mapenzi ya mtu.. Na ni naamini sitakufa mpaka ndoto zangu zitimie.. Mume wangu ameapa kuwa atahakikisha sifanyi Huduma tena.. Lakini ninasema katika Jina la YESU, kama Bwana aishivyo, mwanzilishi wa Huduma yangu ni Mungu Hivyo mmalizaji wa Huduma yangu ni Mungu mwenyewe. Na sasa ninajipanga kumwimbia Mungu kama sitaimba tena.. Wakati mwingine usipokuwa mwangalifu ndoa inaweza kukukosesha ufalme wa mbinguni hasa Uki ingia kwenye ndoa isiyo sahihi. Ninampenda sana mume wangu lakini ninampenda Mungu wangu zaidi. Ahsante..

Nimeamwua kuandika Maana Nimechoka kuficha maovu aliyokuwa akinitendea.. Nimemtunzia heshima muda wote maana sikutaka jamii imjue ni mtu wa aina gani but yeye anatumia ukimya wangu kama udhaifu so naona bora niweze wazi ili jamii imtambue

Mimi yamenikuta najua Wapo Wengi tu wanapitia mateso niliyoyapitia mimi.. Kutokana na vitisho wanaendelea kunyanyaswa. That is not fair kwa kweli.. Mimi ningekufa Kabla ya wakati wangu lakini namshukuru mungu Niko hao hata sasa.

Na pia ili kuwaonya wanaume wanaume wenyewe tabia kama yake.. Kama umemshoka mwanamke achaneni kwa amani sio kumnyanyasa mwanamke kama alivyokuwa anafanya mbasha kwangu. Ninapinga vikali unyanyasaji wa wanawake

Sijaona hata akitoa andiko takatifu kuwashauri watu wa kwenye ndoa kutoka hapa zaidi ya kuwashauri wanawake wenzake waptapo misukosuko wasonge mbele na kukimbia familia.
Si dhani kama kweli ni andiko la Flora Mbasha
 
Wanawake ni kama denge akiwa kwenye tawi hili hupiga miruuziii mitamu kama Ishara ya kuusifia mti alioukalia kwa wakati huo,

lakin denge huyohuyo akiona tawi jingne pembeni hulinyea la zaman na kisha kuruka kwenda jingne kwa malingo na mbwembwe zisizo kifani.

Huyu mwanamama hatar sana hafai hata kuimba nyimbo za injili....
Hatuombieni mema wala mabaya but this woman is a dangerous creature indeed!...na kama mbasha kweli alibaka au laa bado sio tikiti ya kusema haya kwani aliaaa wakat wa kuoana nae...women aaahahhaaa bna wanajijua wenyewe
Mmmmmh I can see your point. Hata kama mumewe ana tatizo huu si wakati wa kutengana na kudhalilishana kwani akikaa kimya kuna shida gani.
 
Huyu dada nilimuheshimu sana na kupenda nyimbo zake, Sasa nikisikia nyimbo zake nakereka tu
 
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!

Basi kumbe ni kweli anamegwa na mch Gwajima.
 
Watu wengine bwana...hivi Flora kinachomzuzua ni nini? Sura mbovu shepu hovyo..... Ningekuwa ndo mimi na sura yangu mbovu hii nipate mwanaume kama Emmanuel yan ningekuwa mpole kama nanyolewa


khantwe usuombe ukutane na mwanaume handsome kwa nje utajuta
kauli kama idd amini
mgegendo afadhali jogoo, tena anapiga ngwala anamaliza
hatunzi watoto utaona bora Remmy ongala angefufuka umpate
 
khantwe usuombe ukutane na mwanaume handsome kwa nje utajuta
kauli kama idd amini
mgegendo afadhali jogoo, tena anapiga ngwala anamaliza
hatunzi watoto utaona bora Remmy ongala angefufuka umpate

Hahahaa nitavumilia bwana
 
Back
Top Bottom