Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
[emoji114] [emoji114]Mie tayr mbon alhamdulillah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji114] [emoji114]Mie tayr mbon alhamdulillah
isipokuwa kama imethibitika mwenzaeako ametoka nje ya ndoaKibiblia huyo Daudi, haitajiwi kumwoa flora, mpaka mbasha Mungu amchukue!!
Mungy yupi wa dar (bashite)Kila la kheri Flora na anayekwenda kuwa mumeo.
Mungu na amfanye wa kufanana nawe,amen.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Duh!kampa mwingine!ayaa!jamani kitumbua choteeeeee!
Usije shikwa tuUnajuaje labda Mbasha "atachukuliwa" kabla ya jumapili!
utakua unadangambasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni
Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Mi naona hAmfahamu vizuriWewe unamfahamu Mbasha vizuri?
Duh aisee kusikiliza nyimbo zake yataka moyo! Btw nisihukumu!Nikajua ameacha kuimba.
AllAh AkbarTakbiir..!
Hivi mumewe amefariki eeh?Mwache aolewe, hana mume, maana kifo kilishawatenga, kwa hiyo yuko huru.
Kumbe kashaachana na kilewo?Nakumbuka tu mume wake alivokula za uso 2015 kwenye uchaguzi. Na yeye si Aliachikia kwa Dj NELI [emoji2] [emoji2]
Mungu anachukia kuachanaisipokuwa kama imethibitika mwenzaeako ametoka nje ya ndoa