Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No calling, No Texting, but you miss me.Yes I do love.
I'm sorry. Lost my phone n had to renew my lines. Njoo pm basi unpatie number n won't stay kimya tena.No calling, No Texting, but you miss me.
Muulize anafunga juma pili kwa kanisa lipi? Lbd kama sabato au mwislam?hakuna kanisa jengine lenye kufunga jpili.Kweli machangudoa wapo kila sehemu, Kumbe hata waimba nyimbo za enjili nao ni wahuni kiasi hili? Hivi hao wanaokwenda kumsikiliza Frola wanaupako sawa sawa? Tangu lini NDOA iliyofungwa kanisani ikavunjwa na mahakama na bado ukenda olewa tena?
Wala usiseme juu ya kanisa muulize kanisa gani hilo lbd sabatoHii n aibu sana, wanaenda kusikiliza nn. Huu n ukahaba ndani ya kanisa tena WA waziwazi,
haichukui muda kwa mwenye kudanga kumgundua mwenzake....tunakuwaga woteutakua unadanga
waswahili kwa maneno utatuweza mkuu!! tena ukikuta,wawili mmoja anasema 'inahusu' mwingine anajibu 'haihusu'Hilo neno inahusu huwa linanivunja mbavu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kibiblia huyo Daudi, haitajiwi kumwoa flora, mpaka mbasha Mungu amchukue!!
biblia imeruhusu kuachana kwa uasherati/zinaa lkn wakati huohuo ikasisitiza kuwa ukiacha au kuachwa then ukaolewa/kuoa na mume/mke mwingine unazini!!! Kwahiyo ukiamua kuvunja ndoa uwe tayari kuishi kama mjane/msimbe. Biblia haijaacha jambo...soma kwa makini uelewe.Imeandikwa wanandoa wasiachane isipokuwa Kwa habari ya uasherati , maana Yake ikithibitika kuwa mmoja wa wanandoa amefanya uasherati /zinaa kuachana ruksa! Naomba yasomeni Yale maandiko Kwa utulivu kisha muombe Roho awasaidie kuyaelewa ! Na Kulikuwa na tuhuma za mumewe kumbaka shemejie kitu ambacho kinashabiliana na maswala ya zinaa na uasherati Kama maandiko yalivyosema.
Unaweza kuthibitisha kujichubua kwake?hongera frola mwaya hao wanaokudhihaki ndo hao hao wangekucheka ukipata ngwengwe kila la kheri mwanamke mwenzangu na ndoa yako ikadumu daima maana hata huyo mbasha mwenyew wanaomtetea simuelewi mwanaume kajikoboa halafu mvaa macheni kama mchezaji wa Akudo move on my Frola kila la kheri
Uzinzi uliothibitika na kuwe na ushahidi, ikiwezekana wa kuonekana na watu wengine.Nafahamu kwenye Biblia inaeleza ndoa inaweza kuvunjika kama
Mmoja wapo alifanya uzinzi nje ya ndoa. Pili endapo mtu anataka kukutoa kwenye Imani hebu tafuteni hio mistari.
Kweli kabisabiblia imeruhusu kuachana kwa uasherati/zinaa lkn wakati huohuo ikasisitiza kuwa ukiacha au kuachwa then ukaolewa/kuoa na mume/mke mwingine unazini!!! Kwahiyo ukiamua kuvunja ndoa uwe tayari kuishi kama mjane/msimbe. Biblia haijaacha jambo...soma kwa makini uelewe.
Watu mashujaa! Mashujaa wa zinaa!Kuna watu wana roho ngumu
Noma mkuu, aaf hapo unakutaga kuna vi movement vya sehem 'fulani' ya mwili....mixer kuchezesha vidole...dah nachekaga aiseewaswahili kwa maneno utatuweza mkuu!! tena ukikuta,wawili mmoja anasema 'inahusu' mwingine anajibu 'haihusu'