Baadhi ya ndoa za Kikisto ni za kinafiki sana, wanandoa wakiwa kwenye Watu wanajidai kuwa pamoja wengine hata kushikana mikono , Kumbe wanapo rudi nyumbani kila Mtu analala chumba chake mwenyewe! Sasa yote ya nini hayo? Wengine vipigo hata kutishiana maisha halafu eti wengine wanataka kusema nini vile! Yataka moyo kuishi na Mume asiye afanya kazi (lofa) yani ni mtihani mkubwa, halafu kuna Yule ambae unajua leo hana kazi Ila matarajio yapo kwamba anavyo vyeti vya kueleweka kuweza kuajiriwa baada ya muda flani hata Kwa miaka miwili mitatu, lakini unakuta Tumaini la hivyo halipo halafu mwisho wa Siku shukrani za Punda ziwe mateke?! Utuhumiwe uzinifu ?! Mmn mbombongafu